Ni raha sana endapo!

soo ukisha achiwa simu yake ndo UNAPENDWA??...au ukishaenda kumchukua ofcn kwake ndio WAKO PEKE YAKO??...na uaminifu kwa mwenzi wako unaupima kwa kuachiwa simu na kwenda kumchukua ofcn kwake??...

KAKAKIIZA JIONGEZEEE..NAONA UANATAKIWA KULIBORESHA JINA LAKO LIWE KAKA KWENYE KIIZA AU KAKAKIZANI.....

mahusiano na uaminifu ni zaidi ya kiuachiwa simu coz huko ofisini kwake anayo cmu na anaweza kuwasiliana na hao watu wake kwa namba ya ofcn...na wewe kwenda kumchukua aftr offc hrs haizuii watu kwenda naye "EXTENDED LUNCH TIME" NA WEWE UNAKWENDA KUBEBA USED LAKO UNAPELEKA HOME JIONI...POLE WEEEE
 
Wachangiaji wengi hapa hamna imani, bado maisha ya style ya Mtoa mada yapo, yapo na kuna uaminifu mkubwa tuu. Najau nowadays ku-cheat ni kitu cha kawaida sana, haimaniishi hamna ndoa zenye upendo wa dhati ambao hauna makando kando. Zipo hizo ndoa, zipo sana pia. So msimkatishe tamaa mtoa mada wala wasomaji walio wageni kwenye mapenzi kwa kuwaambia kwamba haiwezekani. Hapo si kweli haya yote yanawekana kabisa na yapo.
 
Yaani mimi nijuavyo sijui kama wengine watasema hivo... ikitokea kuna mtu ana mapenzi ya aina hiyo na ni ya ukweli kabisa siyo yale ya kichina... angalia upande wa pili wa yule mwenziwake.. utakuta ni balaa balaa. Siku zote naonaga waaminifu hukutaniswa na vicheche & vice versa. Mara chache sana tena kwa nadra kukuta watu wawili wote watulivu wamekutana pamoja!!Lakini hii ni kwa mtazamo wangu kulingana na uachunguzi binafsi..
Labda ni mipango ya Sir GOD katika kuweka balance ili kama ni moto basi uzimwe na maji, najua mnanielewa.. Kama mwengine alivyosema hapo juu, kuachiwa simu si kigezo, unajuaje kama ana line 3 au nne? hiyo anayotumia nyumbani, na zile za kazini ambazo wewe huzijui ambazo ukibahatika kuigusa siku moja basi utalazwa amana kwa BP.
 
Napitia previous comments wengi mpo VERY NEGATIVE kuhusu mahusiano mazuri ESPECIALLY MEN. Ni kwamba wengi mnatendwa au mmezoea tu kuponda?!
 
Usicheze na mwanamke hata siku moja mwenzio jana nimekula kwa sms yeye yuko chumbani mimi niko sebuleni kanitumia text "Chakula kipo jikoni" mwisho wa kunukuu siku zinaenda Comrade
 
Usicheze na mwanamke hata siku moja mwenzio jana nimekula kwa sms yeye yuko chumbani mimi niko sebuleni kanitumia text "Chakula kipo jikoni" mwisho wa kunukuu siku zinaenda Comrade
Sipati picha ilikuwaje hii! eti kama unataka chakula kipo jikoni. sh***t, aisee! Kweli mapenzi sio.
 
haya ni mapenzi ya kisekondary na Kiprimary ....
kuachiwa simu SIO kigezo cha kuamini unapendwa . ...
 
Kumbe wengi humu vilema wamapenzi??sikujua yani mumeumizwa hivyo??poleni mwenzenu nakulatende pekeyangu jangwani!!!
Wengu mmekonkurudi hii thread ila yapo nakama hujawai kuyapata siku ukiyapata utakuwa chizi!!Wanawake wakiamua kitu niwaaminifu sana ila nikatili sana!!Na ukatili husababishwa na sisi wanaumme!!Kwa kuwa vicheche mwanamke hashindwi kutumia line moja na akacht sasa yanini kuwa naline 2-3?wakati wewe huna time ya simu yake?nawewe kumfata ofcn haujamuuliza nikufate yeye ndo anakuuliza mpaka unahisi kama anakubana ila kwakuwa unampenda unabidi uhairishe plan zote za vicheche!!
 
acha kujidanganya! watu sikuizi tunamiliki simu zaidi ya moja na kila simu ina watu wake! unaonaje nikikuachia moja? kuachiwa simu si kitu kabisa!pole sana
 
Wanajamii hakuna kitu kinadumisha mapenzi kama ukiwa na mwenzi wako na mnaaminiana na pale unapomhitaji unampata!na akiwa kwenye shughuli zake kakuacha nyuma kakuacha na simu yake!Mpaka unahisi wewe ndo mwenye dunia!isitoshe unambiwa vipi utanipitia kazini?ni ishara tosha mapenzi yanakuwa yamemea!je wewe nimiongoni kati ya watu ambao mnaendesha mapenzi kwa stayle hii?Sema hisia zako je?

Inaonyesha kuwa bado mko kwenye honey moon. Hiyo huwa inatokea kwa muda tu, na mkishazoeana sana mnaanza kuachana kiaina. Kama mmkaa hivyo miaka mitano, basi hiyo ndoa ina upako usio wa kawaida. Lakini hakuna kitu kisichowezekana chini ya jua.
 
Usicheze na mwanamke hata siku moja mwenzio jana nimekula kwa sms yeye yuko chumbani mimi niko sebuleni kanitumia text "Chakula kipo jikoni" mwisho wa kunukuu siku zinaenda Comrade

ulimuudhi nini? duuh hadi kufikia hatua ya kukutumia sms that means alikua hataki kuongea na wewe lol
 
Napitia previous comments wengi mpo VERY NEGATIVE kuhusu mahusiano mazuri ESPECIALLY MEN. Ni kwamba wengi mnatendwa au mmezoea tu kuponda?!

sio kwamba wanatendwa au wanaponda no! ila ni kwa sababu hawawezi kuwa na full comitment kwenye mapenzi wanapenda uchakachuaji
 
sio kwamba wanatendwa au wanaponda no! ila ni kwa sababu hawawezi kuwa na full comitment kwenye mapenzi wanapenda uchakachuaji

Alaah kumbe, kwahiyo ndo maana wanaona kila mtu mchakachuaji...!
 
HP, kwani si ulipigwa chini kwa kukosa kujiamini na kuendeshwa na mawazo ya rafiki yako????????

Au umerudi kinyumenyume ukamwomba msamaha na kubadilika?????
 
Back
Top Bottom