britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Umetag mapopoma wawili ndo watoe ukweli wa hisia zako,ok acha tubaki spectatorsKuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Naishia hapa GENTAMYCINE
Uko sahihi kabisaNi vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Apson alikuwa na Membe wakishangiliwa na Nape NnauyeKwani hujui kwamba Mwangonda alikuwa upande wa Lowassa?
Kinana Lowassa na Kikwete walikuwa na Apson Mwangonda
Kwahiyo huyo mkuu wa FBI ya weusi wa zamani anapewa mission ya kumwondoa ZZK baada ya vikesi na figisu kutofua dafu?
Kwani kaomba pooTeh kwa hiyo katafutwa mtu anayejua how Mango thinks ili amzibiti ?
Yaaan ni kwamba Membe kaishaaa