Galadudu bhana, story za kutunga kibaoooo... zile za demu uliemplipiaga nauli akakuletea dharau kisha akakupenda ila jamaa yale akawa na mguu wa kuku ziliishiaga wapi?
Dah yaaani my wife wangu anavyoibana simu yangu hahahaahaahah sijui hayo ma sms ya malavidave yangepitia wapi. Kwangu na kama niko Gwantenamo vile kha
Pombe ndio ilisababisha maana toka mwanzo nilikuwa namtolea nje
Yule bado naendelea kugegeda mumewe alienda masomoni Finland, kwani unataka kila kitu kinachoendelea niwe naleta humu
Utamla mtoto then mtoto atakuja na rafiki yake atakutambulishaaa utaomba tena wana jf ushauri.....cha msingi lea familia yako na muombe Mungu akuepushe na hilo pepo la ngono