swit sasha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 270
- 206
Acha tamaa mbaya..kweli hiyo miguu yako mitatu na vichwa viwili vinakusumbua
Acha tamaa mbaya..kweli hiyo miguu yako mitatu na vichwa viwili vinakusumbua
Na wewe tunga za kwako
Ungeacha kuwa unaingia tu mkuu
Kwa kweli nisipende kuwa muongo kama wengine kukataa jambo wakati unalifanya, mi siwafichi nna mke na watoto wa4 wa kiume wawili na wa kike wawili na kama ka utaratibu ketu sisi baadhi ya wanaume wa kiafrica kuwa na ka mchepuko nje kuanzia kamoja na kuendelea, sijui na wazungu huwa wana michepuko
Picha linaanza hivi;
Kuna mmama mmoja hivi ambao kwa kweli age imeenda kiaina, lakini kwa jinsi anavyojiweka utafikiri labda yuko sauti mwaka wa mwisho, maza anajitahidi sana kuchomoka na pigo za kisistadu alianza kunipigia misele ya kunitokea tangu mwaka jana 2014 miezi ya mwanzo mwanzo.
Baada ya kumpiga chenga za hapa na pale na yeye mwenyewe kuona hakuna matumaini yeyote ya kunipata akaamua atumie plan B, vizawadi vikawa vingi mara boxer, vi body spray vya aina tofauti tofauti, nikijipindua huku kwenye simu mara umepokea salio la sh elfu 10
Nahisi hadi simu yangu ilikuwa inashangaa maana sijawahi kuiwekea hela hiyo mimi kutoka kwa yani ili mradi tu kunionesha hisia zake.Kuna kipindi akasafiri, aliporudi sasa alikuwa kama ametoka China kufunga mzigo wa kuja kufungua duka la nguo hapo makoroboi, begi zima lina nguo zangu na watoto wangu wale wa4, duh.
J'mosi moja akaniomba sana nimkubalie tutoke akiwa anadhamini bills zote, nikatunga uongo wee, kisha nikamvaa wife uso mkaaavu ' bana bosi wetu amefiwa na mtt wa dada yake huko Shinyanga.
Kwa hiyo tumeteuliwa watu wawili wa kumsindikiza' baada ya kunibana kwa vijiswali vya hapa na pale mamaa akatoa 'go ahead nikalirudia jimama nikatoa sharti, lakini tukitoka huko tuendako unanichukulia chumba nalala peke yangu' akasema haina shida
Tukaenda zetu dansi buana Duh! Alikuwa amepiga kisketi cha jinzi hicho kifupi yani kama sio kimini basi ni kiminua kabisaalipendeza sana tu kaanza kuserebuka dansi huku tunagonga biere taratibu, bandika bandua, huku mi kwangu zilivykuwa zinapanda ndio kasi ya uagizaji ilipokuwa inaongezeka.
Mwisho wa siku tukajikuta tuko kwenye chumba cha hotel flani iliyoko pembeni mji ghorofa ya 3, aliyevumbua hii pombe ni mshenzi sana hata sijui alichanganya nini na nini.Maana nilijikuta misimamo yangu yote inapotelea hewani na nikaanza kutoa ushirikiano wa kutosha.Tulitumiana sana siku hiyo.
Asubuhi akaniacha na fungu zito tu la mkwanja, muonja asali. Hatukuishia hapo, tukawa tunaendelea huku misimamo yangu nikiitupilia mbali kama sio kuisahau kabisa, sasa kilichonifanya nije hapa kuwaomba ushauri ni hiki:-
Siku kama nne zilizopita amekuja binti yake wa kumzaa ana kama 25 yrs mtoto kaiva kwelikweli duh! akamtabulisha kuwa mi ni mshirika wake kibiashara, binti katokea kunipenda sana na akaanza kuingia na gia ya kunipa vijizawadi kama mama yake huku vi sms vya kunitakia mchana/usiku mwema vikiwa vingi tu.
Na wakati mwingine eti kunikumbusha mchana nile kwa wakati sisi wabongo hatunaga hayo eti kula on time, mi nakula pale ninapohisi njaa naona vishawishi vinakuwa vingi sana wajameni hivi nimgegede huyu halafu niachane na mama yake.