NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
kuna watu wana moyo jamani,ivi ukiona watoto wako unafikiria nini?
wewe mwenyewe Playboy.... umewezaje kutoa ushauri mzuri hivi? pili story za galadudu zisikuumize sana kichwa... huyu ni director wa movie.. anakupa scene tu
Ktk mara zote tulizokutana cjawahi piga bila condm
Kuwa playboy sio tatizo....#tatizo ni naona jamaa anacheza rafu vp kama mama sukari ameukwaa vipi akimla na mtoto wa mama..then akarudi kwa mkewe...