Ugimbi usisile che2,
leka tubite ku mama carolina ana mkakangafu na mapinigesi.
Ugimbi usisile che2,
Chopolintotolanyaga tamu usipime. .
leka tubite ku mama carolina ana mkakangafu na mapinigesi.
Ugimbi unono beeUgimbi usisile che2,
Upo sawa kabisa!!hasa la NAMANYERE:lol::lol::lol:
Hii nayo imetulia nimewahi ionja!!Nawashauri nyote tafuteni habari ya pombe moja inaitwa Ulaka. Pombe hii inapatikana mikoa ya kusini na inatokana na Mabibo (matunda ya mti wa mkorosho) ni rahisi kutengeneza na ni rafiki wa mazingira. Kwani huwa haipikwi bali huanikwa juani baada ya kukamuliwa. Na haikopeshi iingiapo kichwani. Ulaka ni nambari moja nasema.
jamani ninyi watu mbege mmeiacha wapi??? Hakuna mfano wa pombe safi ya kienyeji kama mbege,,,,nenda moshi au njoo arusha uulize.. Kila siku toyota stout za kina mzee massawe na uriyo zinatoka uko kibosho, oldmoshi na machame kuleta mbege arusha
leka tubite ku mama carolina ana mkakangafu na mapinigesi.
mkangafu wa ihemi huo mpaka ukifika Iringa unakuwa mdindifu