Ni Pendo Tu by Carola Kinasha

Simon Adebisi

JF-Expert Member
Aug 7, 2018
1,138
2,147
Wadau please mwenye wimbo wa huyu Mama Carola Kinasha uitwao Ni Pendo Tu naomba anipostie hapa nimeutafuta sana bila
Mafanikio. Youtube bila myspace link imekufa. Mkito nimelipa but naona kama haifanyi kazi vile

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom