JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,056
- 14,878
Niliwahi kutana na mke wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa guest. Alikuwa na dereva wa bodaboda. Guest yenyewe ilikuwa ni mbali mno na eneo tunaloishi.ni nyuma za kujisitiri na faragha,
na humo ndani tukikutana korido tusisalimiane wala kutizamana sura kilia moja afate lwake tafadhali
Huna hela ww mzee baba.Kwani shida nini? Watu maskini hufatilia vitu vidogo kama ngono, uzinzi, sasa watu wanajifanyia uzinzi, wanatumia miili Yao, we kinakuuma nini? Tufike sehemu kila mtu ajihusishe na maisha yake,
There is no need to poke ur nose into someone shit
kusalimiana ni kosa kubwa sana, na wewe ulifanya jambo la maana sana kupita kimyakimya πNiliwahi kutana na mke wa mwenyekiti wa serikali ya mtaa guest. Alikuwa na dereva wa bodaboda. Guest yenyewe ilikuwa ni mbali mno na eneo tunaloishi.
Mbaya zaidi walikuwa ndio wanaingia chumbani mimi nikiwa natoka. Hatukusalimiana, kila mtu aliuchuna kama hajamuona mwenzie.
Toka siku hiyo nikiwa na shida yeyote na mwenyekiti huwa naenda nyumbani kwake na huwa inatatuliwa kwa haraka sana hasa nikimkuta mkewe.
Mwenyekiti alishawahi kuniambia kuwa mkewe amemwambia katika wakazi wa eneo lake mimi ni mmoja ya wastaarabu mno.
Hizo ni nyumba za kulala wageni walio wenyeji.
Kwenye kitabu unaandika From: Dar To Dar.
From ilala dar to ilala dar
Mbona mashoga wakifirana mnapayuka mpaka mnabasti kwa mapovu!Kwani shida nini? Watu maskini hufatilia vitu vidogo kama ngono, uzinzi, sasa watu wanajifanyia uzinzi, wanatumia miili Yao, we kinakuuma nini? Tufike sehemu kila mtu ajihusishe na maisha yake,
There is no need to poke ur nose into someone shit
ni nyuma za kujisitiri na faragha,
na humo ndani tukikutana korido tusisalimiane wala kutizamana sura kilia moja afate lwake tafadhali