Ni nn faida ya kuUpadate Current iOS 12.5 to 14.5 ?

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za mbele zaidi , ni nn faida ya kuforce hili kwneye simu za iOS ?
Thank you. N
 
Ninavyojua mimi huwezi kuforce simu kutoka 12.5 mpaka 14.5 kama simu yako haijapata updates,Kama simu ina uwezo utapata updates na utadownload version bila kuforce.
 
Unaforce vip wakati kila version ya simu na ipad ina ipsw maalum kwa ajili yake.
Ikiwa na maana kama hawajatoa update kwa ajili ya hiyo version bas huwez upgrade. Na ios uwa update zinatoka kwa devices zote zinazostahili kwa pamoja
 
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za mbele zaidi , ni nn faida ya kuforce hili kwneye simu za iOS ?
Thank you. N

Cha wanza hauforce updates, notification inakuja tu mm naona ni muhimu kwa ajili ya security pia baadhi ya features zinaongezela mkuu mfano iOS 14...kuna widgets kibao, Apple music imeboreshwa, Camera Video editing, iMessages mambo kibao tu, faida za kufanya updating ni nyingi mzee
 
Ios 13
  • Systemwide Dark Mode
  • Revamped Photos app
  • New Photo editing interface
  • Sign in with Apple option
  • Location data limits
  • Look Around view in Maps
  • New Reminders app
Ios 14
  • Home screen redesign with widgets
  • New App Library
  • App Clips
  • No full screen calls
  • Privacy enhancements
  • Translate app
  • Cycling and EV routes
Kama Una simu yenye Oled display dark mode ni must have.
 
Ninavyojua mimi huwezi kuforce simu kutoka 12.5 mpaka 14.5 kama simu yako haijapata updates,Kama simu ina uwezo utapata updates na utadownload version bila kuforce.

Sasa jamaa anapachika mpaka hata Iphone 5 iOS ya 14.5
 
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za mbele zaidi , ni nn faida ya kuforce hili kwneye simu za iOS ?
Thank you. N

Ndio mkuu nliwahii kushuhudia hii kitu palee makumbushooo jamaaa sikuwaelewaa
 
Sasa jamaa anapachika mpaka hata Iphone 5 iOS ya 14.5
Mkuu inawezekanaje uweke ios 14 kwenye iphone 5 wakati iphone 5 ina Apple A6 32 bits processor na ios kuanzia 12 ni 64 bits OS?
Labda kama iphone 5s....
 
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za mbele zaidi , ni nn faida ya kuforce hili kwneye simu za iOS ?
Thank you. N

Hakuna maujanja yeyote ni version ya simu husika ndio inasupport ku update wanakutumia notification una update kuanzia iPhone 6s na kuendelea ndio zina support 14.5 kwa sasa kwa ninavoelewa mm ni hivo
IMG_9184.png

Kama hiyo inataka update
 
Hakuna maujanja yeyote ni version ya simu husika ndio inasupport ku update wanakutumia notification una update kuanzia iPhone 6s na kuendelea ndio zina support 14.5 kwa sasa kwa ninavoelewa mm ni hivo View attachment 1768693
Kama hiyo inataka update

Kaka wanaoandisha hadi iphone 5
Na pia umepotosha niko na iphone 6 kavu lakini upadate yake current ni 14.5 na sio kuanzia 6s.
 
Mkuu inawezekanaje uweke ios 14 kwenye iphone 5 wakati iphone 5 ina Apple A6 32 bits processor na ios kuanzia 12 ni 64 bits OS?
Labda kama iphone 5s....

Hii inawezakane jamaa yupo Arusha na anafanya.
 
Kaka wanaoandisha hadi iphone 5
Na pia umepotosha niko na iphone 6 kavu lakini upadate yake current ni 14.5 na sio kuanzia 6s.

6 kavu? Never hata plus haina utakua una 6s kavu km ni plain bac ya magumashi hata 14.4 haina
IMG_9198.png

IPhone 6s and later
 
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za mbele zaidi , ni nn faida ya kuforce hili kwneye simu za iOS ?
Thank you. N
To gain more features
 
Kwenye iOS app development kuna kitu inaitwa target version, ni minimum iOS ambayo apps zina support. Mfano inaweza kutoka version ya WhatsApp ambayo min support ni iOS 12.0.1

Ina maana kama simu yako ni iOS 12.0.0 au chini ya hapo haitaweza ku update kama ina version ya zamani wala ku install kama ulikuwa bado huja install
 
Back
Top Bottom