ni njaa au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni njaa au?

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, Aug 12, 2010.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  JAMANI NJAA HAINA ADABU NA HAICHAGUI MTU.


  [​IMG]
  Bibi akiwa amefungasha mzigo wa Bangi, mwenyewe alikuwa amejiandaa tayari kwenda kafanya biashara lakini bahati haikuwa yake wajanja wamemnasa.


  [​IMG]

  Polisi wakimpekuwa bibi mwenye umri wa miaka 94 alikamatwa maeneo ya Nogales Arizona akiwa na bonge la mzigo wa bangi....Swali ni je kweli huyu bibi hiyo biashara ilikuwa ni ya kwake ?au wajanja walimtumilizia wakiamini bibi kama huyo hawezi kushukiwa kama anaweza fanya biashara kama hiyo? Mie naona she is toooooo old for that,....na kama ilikuwa ni biashara yake then the World is coming to an end.


  NB:kama ilishapostiwa kabla mnisamehe bure.
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Si bora huyo anahustle kuliko viongozi wetu wezi na wanyontaji...ni mjasiliamali huyo by the way...
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila mtu atakula kwa jasho lake......
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mkuu ni kweli kabisa hujakosea.
   
 5. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  Majasho mengine yana VIKWAPA HAYALIKI
   
 6. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Old womens at work.
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  Does it fit the definition of WORK...??
   
 8. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  habari ndo hiyo.kazi ni kazi.kwani bibi ndo hali?
   
 9. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Cheusimangala mi hio avatar yako bana daaaaa................
   
 10. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kijana acha kumtekenya chui mapajani........!!!!ohoo shauri yako.......!!!!!!changia mada bwana ma-off topic mengine sio mwake kabisa!!!
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  Nyani haoni...................... tehe..........tehe......... maana liko nyuma
   
 12. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jibu ni YES kama hii ndio shughuli ilimwezesha kuishi miaka yote hiyo 94. ILA ANAFANYA KAZI HARAMU
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Bi mkubwa naye anataka kutoka ki'life.
  Du!
   
 14. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mi siamini kama ni kweli. Nadhani ni sanamu, vinginevyo angepekuliwa na askari wa kike
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,404
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  ............... contradiction ....................
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  asanteni Mods kwa kunisaidia kuiweka vizuri post yangu.
   
 17. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  bibi ananikumbusha ule usemi kuwa'fanya kazi kwa bidii kama vile hamna kufa' maana bibi hata akitoka namna atawahi kweli kula jasho lake kazi zenyewe hizi za hatari hatari tu presha itamuua kabla ya siku zake.
  ila bibi ni komando jamani credits zake tumpe.
   
 18. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hivi bibi umri huo atafungwa au?
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  sheria ni msumeno
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  ha ha .....wewe ndo unaonekana avatar imekumaliza kabisa ..Pole baba chirismas
   
Loading...