Mnazungumziaga Maendeleo ya nchi kama Marekani halafu mnataka copy and paste Kwa Tanzania. ..
Marekani utajiri unamilikiwa na asilimia moja Tu ya population..
Wamarekani Hadi Leo wanalia na mifumo kama electrol college n.k...
Media zina influence Sana .kuna bado wale madalali wanaitwa lobbyists ambao ndo wanaamua Nani awe senetors au Rais na policy ipi ipite ipi ikwame n.k....
Mtakuja kudanganya watu waingie mkenge washindwe kutoka tupeleke nchi kwenye madalali..
Katiba mpya Haina maana kama majority ya population ni ignorant na poor .. watauzwa mchana kweupe
Wananchi walishatoa maoni yao yapo kwenye rasimu ya Warioba. Kwa kuwa inawabana watawala wanataka kuichakachua ikidhi matakwa yao. Hakuna haja kuanza upya ni matimizi mabaya ya rasilmali zetu. Watayapinga Tena maoni yetu na hela italiwa lakini hakutakuwa na jipya. Danadana itaendelea, wataendelea kujimegea keki ya taifa na maisha yaendelea kama jana.Wananchi % kubwa hawajui umuhimu wa Katiba Mpya hata hii iliyopo hawaelewi so Mimi naomba Serikali itenge fungu la kuwapa watu MAARIFA waelewe hata maana ya katiba Mpya
Hapa nilipoweka bold ndo Kwenye nyama. Hao chadema wanataka wawe na muda wa kupinga pinga matokeo kupotezeana tu muda.Katiba ya Tanzania haikuandikwa vizuri, ina makosa mengi sana ambayo yanaweza kucost nchi. Kwa mfano Katiba ina kifungu kinachosema CAG ataendelea kuwa ofisini hadi afikisha umri wa kustaafu sijui miaka 65; ni kifungu kimeandikwa kimakosa na mwandishi hakuwa na maana hiyo, lakini sasa kiko ndani ya Katiba na tumeona juzi kimetumika vibaya. Kuna haja ya kunyoosha lugha iliyotumika ndani ya katiba
Pili muundo wa serikali kikatiba pia uko skewed sana kwa kumwachia Rais madaraka mengi mno. Rais anaweza kuyatumia madaraka hayo kwa manufaa ya umma au kwa manufaa ya watu wake tu; kwa mfano katiba inampa raisi mamlaka ya kuteuwa watu wengi sana bila kuingiliwa; hivyo anaweza kuteua watu wa Sukuma Gang tu, au watu wa Msoga connection tu bila kuulizwa lolote. Kuna haja ya kumpunguzia madaraka kwa mfano kutaka mawaziri na wakuu wa mikoa wote wathibitishwe na bunge, na pia bunge liwe na mamlaka ya kuwafukuza. Halafu wakuu wa wilaya ama wafutwe au wachaguliwe na wananchi huko huko wilayani kwao.
Tatu Kwenye Uchaguzi wa Rais, Katiba imetoa madaraka makubwa sana kwa Tume ya uchaguzi kuwa ikishatamka rais mteule basi tangazo lao haliwezi kupingwa au kutenguliwa na mahakama yoyote na inabidi mteule huyu aapishwe mara moja. Hilo ni kosa.
Kuna mambo kadhaa ambayo Katiba ya sasa ina mapungufu. Lakini Katiba mpya siyo kuwa itafanya CHADEMA au CUF au ACT washinde uchaguzi. Hivyo ni vyama vya kibabaishaji sana ambavyo vimeonyesha kutokuwa na msimamo wa kisiasa. Wamekuwa wanatumia Katiba kama kisingizio cha kushindwa huku vyama vya wenzao kama Kenya, Zambia na Malawi vilishinda bila katiba mpya.
Mmh dinner saa tisa usiku. Unakula watu?🌚Hapana, mimi ndiyo nimetoka kazini sasa nasubiri kupata dinner. Dunia ni mduara; wewe unapokuwa umelala, wengine wanakuwa maofisini wanafanya kazi.
Katiba ya Tanzania haikuandikwa vizuri, ina makosa mengi sana ambayo yanaweza kucost nchi. Kwa mfano Katiba ina kifungu kinachosema CAG ataendelea kuwa ofisini hadi afikisha umri wa kustaafu sijui miaka 65; ni kifungu kimeandikwa kimakosa na mwandishi hakuwa na maana hiyo, lakini sasa kiko ndani ya Katiba na tumeona juzi kimetumika vibaya. Kuna haja ya kunyoosha lugha iliyotumika ndani ya katiba
Pili muundo wa serikali kikatiba pia uko skewed sana kwa kumwachia Rais madaraka mengi mno. Rais anaweza kuyatumia madaraka hayo kwa manufaa ya umma au kwa manufaa ya watu wake tu; kwa mfano katiba inampa raisi mamlaka ya kuteuwa watu wengi sana bila kuingiliwa; hivyo anaweza kuteua watu wa Sukuma Gang tu, au watu wa Msoga connection tu bila kuulizwa lolote. Kuna haja ya kumpunguzia madaraka kwa mfano kutaka mawaziri na wakuu wa mikoa wote wathibitishwe na bunge, na pia bunge liwe na mamlaka ya kuwafukuza. Halafu wakuu wa wilaya ama wafutwe au wachaguliwe na wananchi huko huko wilayani kwao.
Tatu Kwenye Uchaguzi wa Rais, Katiba imetoa madaraka makubwa sana kwa Tume ya uchaguzi kuwa ikishatamka rais mteule basi tangazo lao haliwezi kupingwa au kutenguliwa na mahakama yoyote na inabidi mteule huyu aapishwe mara moja. Hilo ni kosa.
Kuna mambo kadhaa ambayo Katiba ya sasa ina mapungufu. Lakini Katiba mpya siyo kuwa itafanya CHADEMA au CUF au ACT washinde uchaguzi. Hivyo ni vyama vya kibabaishaji sana ambavyo vimeonyesha kutokuwa na msimamo wa kisiasa. Wamekuwa wanatumia Katiba kama kisingizio cha kushindwa huku vyama vya wenzao kama Kenya, Zambia na Malawi vilishinda bila katiba mpya.
Hapa nilipoweka bold ndo Kwenye nyama. Hao chadema wanataka wawe na muda wa kupinga pinga matokeo kupotezeana tu muda.
Huo uhuru kautumia hata raila kaishia wapi kila siku anapinga matokeo tu anaamini wakenya wote wanamtaka
Unazungumza shortcut sana. Ninachopinga ni kusema kuwa tamko la ushindi wa Rais, lakini siyo ushindi wa viti vingine kama wabunge na madiwani. Ni vigumu sana kwa chama chochote kushinda urais bila kushinda ubunge. Mambo hayo yangekuwa rahisi sana iwapo kuna chama kilipata wabunge wengi sana lakini kikakosa kiti cha urais ndipo unapoweza kutumia kifungu hicho ninachosema kina makosa.Mbona unajicontradict?. Unasema katiba imeipa mamlaka makubwa NEC kwenye uchaguzi wa Rais halafu unasema kuwa vya vya Upinzani haviwezi kushinda. Tupunguze unafiki, Mwaka 2015 Rais alishinda kwa kura asilimia 57 Ina maana alivuka asilimia 7 tu, mwaka 2020 uchaguzi ukaharibiwa kwa wapinzani kuenguliwa na ujinga mwingi, Sasa unawalaumuje wapinzani kwamba hawawezi kushinda ilihali Tume ipo upande wa CCM ?.
Kwa Tanzania hali ni tofauti na Kenya, Zambia na Malawi. Kwa Tanzania CCM imejimilikisha nchi na ipo tayari kuua watu ili iendelee kukamata dola. Mwaka 2015 uchaguzi Zanzibar ulifutwa baada ya CUF kushinda, jeshi likatumwa Zanzibar. Sasa wewe Baki unalaumu wapinzani wakati CCM wamekula yamini kuwa hawataaachia madaraka .
Wananchi % kubwa hawajui umuhimu wa Katiba Mpya hata hii iliyopo hawaelewi so Mimi naomba Serikali itenge fungu la kuwapa watu MAARIFA waelewe hata maana ya katiba Mpya
Mmh dinner saa tisa usiku. Unakula watu?🌚
Unazungumza shortcut sana. Ninachopinga ni kusema kuwa tamko la ushindi wa Rais, lakini siyo ushindi wa viti vingine kama wabunge na madiwani. Ni vigumu sana kwa chama chochote kushinda urais bila kushinda ubunge. Mambo hayo yangekuwa rahisi sana iwapo kuna chama kilipata wabunge wengi sana lakini kikakosa kiti cha urais ndipo unapoweza kutumia kifungu hicho ninachosema kina makosa.
Demokrasi ina gharama zake, na mojawapo ni hiyo ya kurudia uchaguzi ili yule aliyeshindwa ajue kuwa alishindwa kiuhalali. Kenya waliwahi kurudia Uchaguzi wa rais, na najua Marekani kati ya Al-Gore na Bush ilichukua miezi miwili kabla ya ya uchaguzi kuamuliwa ingawa uliamuliwa kiitikadi lakini upande ulioshindwa ulielewa umeshindiwa wapi kikatiba.Hapa nilipoweka bold ndo Kwenye nyama. Hao chadema wanataka wawe na muda wa kupinga pinga matokeo kupotezeana tu muda.
Huo uhuru kautumia hata raila kaishia wapi kila siku anapinga matokeo tu anaamini wakenya wote wanamtaka
Unarudia yale yale. Katiba haizuii wabunge kupinga matokeo, inauia kupinga matokea ya urais tu. Kama kuna wagombea ubunge walionewa walikuwa na haki ya kikatiba kupinga matokeo, na kama hawakufanya hivyo ni lazima walijua kuwa walishindwa kihalali ila labda walitaka kupiga ngoma kwa wafuasi.Ubunge upi? Mwaka 2020 wagombea ubunge 180 wa CHADEMA walienguliwa ila baadaye 89 wakarudishwa wengine wakafutiliwa mbali na NEC. Fahamu Kura za ubunge zinasimamiwa na Mkurugenzi anayeteuliwa na Rais unategemea Nini?. Na hiki kilidhibitika mwaka 2020 ambapo wakurugenzi na hata wakuu wa mikoa waliingilia uchaguzi na kulazimisha kila mgombea ubunge wa CCM ashinde. Ili upinzani utangazwe umeshinda lazima wafuasi waandamane au mgombea aungwe mkono na zaidi ya asilimia 70 ya wapiga kura la sivyo hatangazei.
Wananchi % kubwa hawajui umuhimu wa Katiba Mpya hata hii iliyopo hawaelewi so Mimi naomba Serikali itenge fungu la kuwapa watu MAARIFA waelewe hata maana ya katiba Mpya
Sawa huu mchakato wa Katiba Mpya unahitaji fungu Tena kubwa that way Mama kasema anajipanga , tunahitaji katiba yenye maoni ya wananchi wa Muda huu na sio 2014 hiyo hapana .Hii "itenge fungu" ina lengo ovu la kuonyesha wanaotaka katiba mpya wanataka ulaji. Usisahau tulishafikia kwenye katiba ya Warioba miaka 10 iliyopita.
Sawa huu mchakato wa Katiba Mpya unahitaji fungu Tena kubwa that way Mama kasema anajipanga , tunahitaji katiba yenye maoni ya wananchi wa Muda huu na sio 2014 hiyo hapana .