Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

Ukichikulia haya mambo ni muhim saanaa...


Utajifia bure.. We kula papuchi tembea. Asaliti asisaliti kivyake. Asinletee tu magonjwa na watoto wasio wangu.
Kwanza kiungo si chake bana..

Hahahaha... kazi kwelikweli sometimes kuletewa magonjwa hakuepukiki
 
Hahahahaa Dawa ya usaliti kumuacha alokusaliti nakwenda kwingine.

Hiyo imeruhusiwa kabisaa, nahaijalishi watakusaliti wangapi ,unwchopaswa nikumuacha tu nakwenda kwingine..labda uwe unampenda kindakindaki.

Kwa hiyo hata kama utapenda na kuacha mara 100 ni sawa tu. Can you marry and divorce 100 times?
 
Kwa hiyo hata kama utapenda na kuacha mara 100 ni sawa tu. Can you marry and divorce 100 times?
Ona am a Christian, suluhisho peke la usaliti ndani ya 'ndoa' nmeambiwa nikumuacha mke sababu usaliti ukiingia niwazi kabisa mshahara wake ni kifo ,sasa ukiungana naye mkaendelea kua mwili mmoja naww UTAKUFA TU noway !!.

Nb...sizungumzii nhabar za mademu hapa , ila hata demu niliyenaye mpango , once akifanya iyo kitu naachana naye ...nikiendelea naye basi itakua nikwa matumizi tu so nmeamua kutumiana basi lkn tayari atakua hana sifa za mke.
 
Ni suluhu nzuri kwa kimtazamo ila kuwa muaminifu kunaendana na level ya trust ulionayo kwa mtu wako. Ukishaona mtu mambo mengi mara paap kakusaliti unaanzaje kuendelea kumtrust?

Na pia tukumbuke kuwa trust inaenda sambamba na upendo, sasa mtu alieasi upendo wako unaendeleaje kumpenda!?

Ni ngumu sana maana at last utajilazimisha kumsamehe usimuache ila hutaacha kumshuku kila mara, hutakuwa na raha nae tena maana usaliti unauma. Ni kama mtu aliekuona si bora mbele ya watu wengine ndio maana akakucheat.

Suluhisho la haki nadhani ni kuachana tu, utafute mtu mwengine kisha uendelee na cycle ya kuwa mwaminifu kwake!

Hapa nimepata kitu aseee.... Shukrani.... Japo how comes kama kila unayekuwa naye atakucheat?
 
Suluhisho ni kukata tu hivyo viungo kwenye miili ya binadamu,,,,viungo vile ambavyo vinasababisha unzinzi.
Mi sivijui,,, lkn ingekuwa mimi nakata kiungo chake.

Hapo uwe umejipanga kuoga mvua ya miaka ya kutosha jela
 
LadyRed tekinolojia imeakua sana watu wanafikiri hawawezi kukamatwa kwani tekinolojia imerahisisha sana watu kufanya mawasiliano na kucheat hawawezi kuacha. Mimi niligundua kuwa anacheat nikamwambia kisha anamwambia hawara wake kuwa watumie program maalum ili nisione calls wala sms. yaani badala ya kuacha wanajificha kwanye kichaka cha tekinolojia. tekinolojia ikawaumbua pia kimbembe...hawaachi LadyRed...
Hapo kazi ni kwako ss kuamua
 
Kama mafiga matatu ya kupikia eh!? Mtaka yote kwa pupa........


Hauwez ukaachwa na watatu wote kwa pamoja
na akikuacha mmoja unareplace as soon as possible
[HASHTAG]#All[/HASHTAG] about risk management
 
Kuloga ndiyo mwisho wa matatizo. [emoji14] [emoji23] [emoji119]
 
Suluhisho ni kua na hofu ya Mungu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom