Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

Ni nini suluhisho la usaliti katika mahusiano?

Suluhisho ni "kuzidi kuwa mwaminifu Mara dufu,akusalitie mwache akusaliti," simama katika NAFASI yako Ww kama Ww!!!!


Mumu, hapa kusema kweli inataka moyo, maana wengi wetu tunayajua maumivu ya kusalitiwa yalivyo. Lakini unaposema muache aendelee kukusaliti, how comes kama atakuletea magonjwa ndani?
 
Mwisho wa yote ni kupunguza maumivu.

Usaliti wa mapenzi sio kosa rahisi kusameheka moyoni mwa mtu, hata kama mtu kasamehe huwa ni kwa maneno tu ila moyoni huwa halitoki.

Kama huamini kutana na mtu aliyefumania mke wake akichezeshewa gegedeo.
Kusamehe unajiponya mwenyewe aisee pia bila hofu ya Mungu nakujiheshimu usaliti hauwezi isha nimewahi chitiwa nikamsamehe na mapenzi yangu kwake yakafa kabisa
 
Kusamehe unajiponya mwenyewe aisee pia bila hofu ya Mungu nakujiheshimu usaliti hauwezi isha nimewahi chitiwa nikamsamehe na mapenzi yangu kwake yakafa kabisa
hapo kweli ulijiponya mwenyewe aseee
 
Pamabana na hali yako, hakuna general solution kwenye hilo jambo, kakusaliti kwani huyo mtu ulimuumba wewe? katoa mchezo kwa mtu mwingine na wewe piga game za kirafiki acha kulia lia
 
Ukichikulia haya mambo ni muhim saanaa...


Utajifia bure.. We kula papuchi tembea. Asaliti asisaliti kivyake. Asinletee tu magonjwa na watoto wasio wangu.
Kwanza kiungo si chake bana..
 
Mumu, hapa kusema kweli inataka moyo, maana wengi wetu tunayajua maumivu ya kusalitiwa yalivyo. Lakini unaposema muache aendelee kukusaliti, how comes kama atakuletea magonjwa ndani?
Acha kufuatilia viungo vya wenzako wewe...
 
Suluhisho ni "kuzidi kuwa mwaminifu Mara dufu,akusalitie mwache akusaliti," simama katika NAFASI yako Ww kama Ww!!!!
Hahahahaa Dawa ya usaliti kumuacha alokusaliti nakwenda kwingine.

Hiyo imeruhusiwa kabisaa, nahaijalishi watakusaliti wangapi ,unwchopaswa nikumuacha tu nakwenda kwingine..labda uwe unampenda kindakindaki.
 
Suluhisho ni "kuzidi kuwa mwaminifu Mara dufu,akusalitie mwache akusaliti," simama katika NAFASI yako Ww kama Ww!!!!
Ni suluhu nzuri kwa kimtazamo ila kuwa muaminifu kunaendana na level ya trust ulionayo kwa mtu wako. Ukishaona mtu mambo mengi mara paap kakusaliti unaanzaje kuendelea kumtrust?

Na pia tukumbuke kuwa trust inaenda sambamba na upendo, sasa mtu alieasi upendo wako unaendeleaje kumpenda!?

Ni ngumu sana maana at last utajilazimisha kumsamehe usimuache ila hutaacha kumshuku kila mara, hutakuwa na raha nae tena maana usaliti unauma. Ni kama mtu aliekuona si bora mbele ya watu wengine ndio maana akakucheat.

Suluhisho la haki nadhani ni kuachana tu, utafute mtu mwengine kisha uendelee na cycle ya kuwa mwaminifu kwake!
 
Suluhisho ni kukata tu hivyo viungo kwenye miili ya binadamu,,,,viungo vile ambavyo vinasababisha unzinzi.
Mi sivijui,,, lkn ingekuwa mimi nakata kiungo chake.
 
Kuyazungumza,kujiangalia alichokosa kwako au kadhia unazompa...mda mwingine ukijua watu huwa wanabadilika
 
Kuyazungumza,kujiangalia alichokosa kwako au kadhia unazompa...mda mwingine ukijua watu huwa wanabadilika
LadyRed tekinolojia imeakua sana watu wanafikiri hawawezi kukamatwa kwani tekinolojia imerahisisha sana watu kufanya mawasiliano na kucheat hawawezi kuacha. Mimi niligundua kuwa anacheat nikamwambia kisha anamwambia hawara wake kuwa watumie program maalum ili nisione calls wala sms. yaani badala ya kuacha wanajificha kwanye kichaka cha tekinolojia. tekinolojia ikawaumbua pia kimbembe...hawaachi LadyRed...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom