Wana bodi, hawa vijana wa kisasa au mjini wana misemo yao wanaita kuntu, sasa katika pitapita zangu nikamsikia kijana mmoja anakawa anamjibu mwenzake kwa ukali eti "hujielewi wewe kama nyuchi chakavu". Hapa nimejiuliza maswali kibao nini maana ya nyuchi chakavu? na kipimo gani hutumika kutambua huu uchakavu? na mechanism gani itumike ili kuikarabati kutoka uchakavu hadi kurudia hali yake? swali la mwisho je kuna uchakavu wowote wa kisiasa tanzania?