Ni Nini Kingemtokea Suarez.??

Ni Nini Kingemtokea Suarez.??

one cater

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
368
Reaction score
153
Vuta Picha Ni Kitu Gani Kingemkuta Luis Suarez Kama Ingetokea Angemng'ata RHINO GATTUSO.
 
Duh kwa nnavyomjua Gattusso si angempiga vichwa vya hayo meno mpaka yang'ooke!.


Be Good!
 
Jamaa ana kipaji kikubwa ila nidhamu yake tu majanga...

Kaka sidhani kama ni nidhamu, nadhani ana matatizo ya akili kwa kiasi fulani, huwezi kurudia kosa moja zaidi ya mara tatu hiyo ni abnormality
 
Back
Top Bottom