Kuna kitu kinanishangaza mtu ana ndoa haina hata miezi sita anachepuka kwa kasi ya kimbunga, sasa kama aliyemuweka ndani hampendi alimuoa wa nini?
Au mkewe anakuwa hana ladha au ugomvi bora hata ndoa ya mwaka au miaka utasema wamechokana, sasa imekuwa mtu anakatisha haneymoon ili akachepuke.
Najiuliza nini kinasababisha
Au mkewe anakuwa hana ladha au ugomvi bora hata ndoa ya mwaka au miaka utasema wamechokana, sasa imekuwa mtu anakatisha haneymoon ili akachepuke.
Najiuliza nini kinasababisha