Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Eneo ninalotegemea kwenda siku chache zijazo, ni pahala palipo na kadhia ya baridi kali .
Researchers!
How to overcome pains of cold weather ?
I nid an accurate result !
Napata kauli nyingi tofautitofauti, kuna wanaoniambia niende na begi zima la makoti, ma'pullover na ma'brankent ya kutosha basi.
Wengine niende na gunia la mkaa wa kuota inatosha.
Na kuna wanaoniambia niache vyote hivyo niende na wife tu! na kwamba atakava kila kitu!
Nikawauliza je siku ikitokea eneo hilohilo anatakiwa aende wife nae aende endeje? Napo wakanipa majibu yasio fanana.
Hapa Jeiefu nna imani ndiyo pa kupata muafaka wa solution ktk hili.
Hebu nitiririesheni mamuafaka.
I'm siriasoo!