Ni nini hutokea mara baada ya mtu kunywa pombe

Ni nini hutokea mara baada ya mtu kunywa pombe

aliekua rafiki angu wa karibu sana ambae tulikua tunashilikiana mambo mengi sana ya muhimu mara baada ya shuguri zetu ilikua ni desturi yetu lazima tujipongeze na pombe kabla ya kurudi nyumbani baada ya kuwa tumelewa njiani tulikua tunaendesha usafiri kibabe sana na ikitokea tumekutana na tukio la ajari njiani jamaa yangu alikua anacheka sana na kuwaona kuwa waliopata ajari ni wajinga na wazembe sana lakini leo hii jamaa yangu nae amekufa kwa ajari tena akiwa amelewa japo naendelea kupiga mtungi lakini nimejifunza mara baada ya kupiga mtungi nisiwe najiamini kupita kiasi
Ni yule mwenye IST
 
Back
Top Bottom