VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Nyerere analo refu kushinda mwinyi....,
Sisi (wanaume) tunalo lakini tunawapa wake zetu,
Pope (Mkuu wa Roman Catholic) analo lakini halitumii,
Ni nini Hilo....
Umepata actually hili swali kuna mdau mmoja alitoa tulivyokuwa darasa la pili shule...,Surname
Umepata actually hili swali kuna mdau mmoja alitoa tulivyokuwa darasa la pili shule...,
Jibu lake rahisi sana mkuu yaani ukiangilia ni nini kinachounganisha vyote hapo juu utapata na wala jibu lake halitakupa BANNakupa Mji, Nenda Vingunguti. Utakwenda?
naomba zawadi yangu basi.Umepata actually hili swali kuna mdau mmoja alitoa tulivyokuwa darasa la pili shule...,
umenipigia chabo, ntakuchapa kwenzi.Hahahah! surname.
si nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibunaomba zawadi yangu basi.
Bad bad girl lol!Nina idea.....mmmh....ila sisemi
nataka niseme ni mifuko pacha ya mbegu/sosi ya mwanadamu lakini nina wasisi kama nyerere kweli kamshinda mwinyi.
si nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibu
This was soo funny yaani kuna mdau alitoa shule primary yaani wanafunzi wote tukawa tunaona labda jamaa amechanganyikiwa au anataka kufukuzwa shule na mwalimu alibadilika sura ghafla lakini wote tuliposikia jibu tukashukuru kwamba mwenzetu hatujampoteza
hebu yaseme hayo mengine, hapa kila kitu kinajibiwa. Lolsi nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibu This was soo funny yaani kuna mdau alitoa shule primary yaani wanafunzi wote tukawa tunaona labda jamaa amechanganyikiwa au anataka kufukuzwa shule na mwalimu alibadilika sura ghafla lakini wote tuliposikia jibu tukashukuru kwamba mwenzetu hatujampoteza
inaonekana masaa 24 unawaza hiyo kitu eeh?????lol