- hahahahaha umekuja mbio kujibu unajua Big Celebrity ukijibu na wewe angalau utaonekana upo hapa hahahahaha U know!!
le Mutuz
Komredi umemaliza kila kitu.Gwajima na Lowassa ni marudio tu ya Mrema na Kakobe....
Nchi hii askofu na mchungaji yeyote anaweza kumpigia mtu kampeni waziwazi
ngoja siku BAKWATA wataje mgombea wao waziwazi uone watakavyo shambuliwa.....
- Eti mimi ni mzushi?hahahahahah Lowassa kasema atamrudisha Marehemu Balali na Gwajima kasema atamrudisha Marehemu Amina Chifupa, huoni hawa ni ndege wa Rangi moja sasa unapeleka hawa watu Ikulu? hahahahah Ikulu ile ile aliyoishi Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa?
- Mkuu muogope Mungu japo kidogo itakuwa Ikulu ya kujaza misukule hahahahahahahaha no way, wananchi msidanganyike!!
le Mutuz
- hahahaha anyegombea urais ni Magufuli sio mke wake, mgombea wenu afya yake sio nzuri ndio maana lazima mke wake ampigie kampeni hahahahahha na gwajima hahahahaha
le Mutuz
First and foremost Le mutuz inabidi azi sort family issues zake kabla jamii haijamsikiliza-huwezi toa ushauri ikiwa wewe mwenyewe the small matter of family imekufanya u elope kukimbia majukumuHivi wewe unayeongozwa na Abdalah Bulembo unaweza kuwa na ushawishi gani katika jamii ?
Mi nadhani bora anafufua walio kufa kuliko anae ua walio hai kwa kuwanyima huduma bora za afya, kushindwa kuwapa walio hai maji safi na elimu bora, ajali kwa zinazosababishwa na barabara mbovu na usimamizi mbovu. Sioni cha kujivunia kwa hao wanao ua walio hai wizi kila kukicha hamna umeme, n.k
Nilidhani unajitambua baada ya kutuletea kurasa zako kumi kumponda lowasa kumbe kilaza kilaza
Hata kama anaumwa ikulu si wanazahanati ya raisi kazi yao nini??
Wakati kikwete anaanguka chini kwenye campaigns zake mmlipeleka wapi??
Kwenda huko na hadithi zenu mbovu
Mgonjwa mgonjwa tumechoka!!
Hii ndoa uliifunga wewe, au unataka kuchukua nafasi ya Gwajima? Umekalia ndoa, ndoa,ndoa nyambafu!
First and foremost Le mutuz inabidi azi sort family issues zake kabla jamii haijamsikiliza-huwezi toa ushauri ikiwa wewe mwenyewe the small matter of family imekufanya u elope kukimbia majukumu
wewe una afya? mbona uko obese,sidhani hata tendo la ndoa unaweza manage- hahahaha anyegombea urais ni Magufuli sio mke wake, mgombea wenu afya yake sio nzuri ndio maana lazima mke wake ampigie kampeni hahahahahha na gwajima hahahahaha
le Mutuz
Ajitokeze japo member mmoja humu JF athibitishe kwamba ameweza kushawishika kwa sababu ya makala zako....yeye ndio atakuwa mpumbavu zaidi
wewe una afya? mbona uko obese,sidhani hata tendo la ndoa unaweza manage
Kumbe wewe ndio una mharibu bulembo