Ndio maana kampani ya sabaya inaumia sana sasa hivi ikiona mafisadi wa kweli ndio wanakamatwa na kuchukuliwa hatua stahiki kwa mujibu wa sheriaHii mahakama ya mafisadi Ingekuwa active kama mafisadi wangekuwa ni wapinzani.Aliianzisha bila kuwaza wateja wake wakuu wangekuwa ndugu zake ccm.
usisahau uwanja wa ndege Chato una harufu kali ya ufisadi + ununuzi wa ndege bila kufuata kanuni!Tusiwe wepesi sana kwa kusahau tulikotoka! Hivi kweli Richmond, EPA, ESCROW n.k haikuwa ufisadi?
Ahadi ya Wagombea Urais ni swala la kiilani vile vile.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848]Katika kampeni ya Urais Magufuli akiwa na Samia walituahidi watanzania kuwa wataanzisha mahakama ya mafisadi.
Ahadi ya Wagombea Urais ni swala la kiilani vile vile.
Wote walikuwa 'wenzetu'I wish angekuwepo ili nimuulize kuhusu matokeo ya ile tume iliyo ongozwa na "Mjamaa na Comrade" Dr. Bashiru Ally akishirikiana na Wajumbe wake akina Albert Chalamila, kuchunguza mali za chama!
Sijawahi kusikia kuna Kigogo yoyote ndani ya chama akifikishwa kwenye hiyo mahakama kwa ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, nk.