ni nini hasa kipimo kizuri........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni nini hasa kipimo kizuri........

Discussion in 'JF Doctor' started by majogajo, Oct 30, 2011.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bunduki nchi(cm) ngapi inamrizisha mwanamke? yaani urefu na upana?
   
 2. r

  rimoy Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inch 9-12 urefu, upana nchi 2-3.5 hiyo inatosha kabisa
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  It does not matter how long is it BUT how you make it long
   
 4. Mkale

  Mkale JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 700
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 80
  5-5.9inch urefu, upana 4cm.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Unaweza ukawa na ndefu na nene lakini ukashindwa kuitumia.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  It depend.......!
   
 7. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Ikiwa ndefu saana inamuumiza kwa hiyo hata-enjoy, ikiwa nene saana hali kadhalika, inaweza ikawa saizi ya kidole lakini ikamfikisha katika climax. Kwa hiyo unachohitaji ni ufundi wako tu kwa sababu starehe ya mwanamke ipo si zaidi ya nchi tano kutoka katika mashavu ya uke, kama utaweza kile kijisehemu kimekaa kama kidole kidogo(wanakiita kiharage) ni cha muhimu saana, ambapo naamini hata bastola, potelea mbali bunduki inaweza kupafikia kiurahisi na kuwafanya wote mfurahishane. Tatizo wabongo tunataka deep penetration-acha hiyo!!
   
 8. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Urefu na upana wowote tu inategemea na jinsi gani unaweza kuutumia uume wako vizuri kumridhisha mwenzi wako
   
Loading...