Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,834
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa letu.
Na ndio kwa maana hata mazungumzo na maelezo ya mara kwa mara ya viongozi hawa wa TEC, yanalenga migawanyiko, chuki na kuwaongoza waamini na wafuasi wa TEC nao kuwachukia viongozi wasio wa dini inayofanana na yao watu ili hatimae kusababisha fujo, vurugu na uvunjifu wa amani wa amani wa taifa letu.
Kama mdau wa JF,
unadhani ni nini hasa chimbuko la chuki za TEC dhidi ya viongozi wakuu wa serikali hasa waisilamu?
Je, tuamini kwamba TEC na taasisi za aina hiyo Africa ndio chanzo cha changamoto ya amani Africa?
Kwanini watu hawa hawapendi amani?
Mungu Ibariki Tanzania.