Ni nini hasa itapelekea mwanaume uliyenaye akupe heshima ya ndoa?

gilldenu

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
2,914
3,002
Wakuu kwema

Moja kwa moja kwenye mada.

Ikiwa kumpa ngono haimfanyi mwanaume kukuoa, wala kumzalia mwana pia haimfanyi mwanaume kukuoa je, nini hasa itapelekea mwanaume ulie nae akupe heshima ya ndoa?

Maana wengine wanabadili hadi dini ili kumridhisha mwanaume lakini bado haolewi. Hata ukijitahidi kuwa mwenye heshima au tabia njema utakuta anaenda oa kwingine. Au ndoa ni fate?

Karibuni kwa ushauri

am better here
 
Ni vyema kwanza ukajua imani yake ktk mapenzi I mean anaamini nini kuhusiana na mapenzi.
Kuna ambao wanamsimamo wa kuoa na ambao hawana! Na vilevile ni ngumu moja kwa moja kusema ni vigezo vipi vitakavyomfanya mwanaume kukuoa!

Hakuna kanuni za moja kwa moja isipokuwa kila mtu anakanuni zake Cha kufanya msome ulienae kisha jipime usipofiti tupa kule maana hamtadumu kwani ni ngumu kuishi kwa kufuata kanuni za mtu

Ila nakushauri kuwa hivi kuwa mature,jua kucare familia,kuwa muelewa, usipende kumind vitu vidogo vidogo inakera!, jitahidi kuwa na options sio kuishi na option moja tu!! Hakikisha unamjali hasa kwenye vitu vya maana..

Kiufupi hizo nilizoandika ni vile navyoona Mimi so nje na uzuri wa mtoto wa kike hizo ni baadhi ya vitu vinavyoweza kunifanya nimtundike jipete la ndoa😜

Hakuna kanuni ya moja kwa moja kwa wote kila mtu anauchaguzi wake.
 
Karibu mama yoyo....

Mwanaume hapendi kusaidiwa mke.....ndiyo maana hatusamehi sisi.

Live long Laiboni...(nimekupandisha cheo toka lile jina nililoshindwa litamka...laigunian sijui nimepatia aahahah).

Na kila mwanaune ajitwike kichwani mke wake muda wote bila kuchoka, ili asijemtua au kumuweka pembeni akajikuta anasaidiwa na mwanaume mwingine mkewe kubebwa na kutwikwa kwenye kichwa cha mwanaume mwingine.....

Haya mafikiri yamenijia tuu na nikawa naandika jinsi yanavyotiririka kwenye tafakuri za bi. Kasinde.

Mtwike mkeo kichwani kwako muda wote bila kuchoka maana mwanamke huwa hachoki kukaa kichwani na hupenda na hufurahia kubebwa na mwanaume muda wote....

Baba yeyoo, sina tafsiri yeyote ya niliyoyaongea bali yamenijia tuu hayo maneno nami nimeyaandika bila kuedit.

Yanipasa nikishayatuma nami nirejee kuyasoma naweza pata somo la kujifunza ama laah boresho kwenye Mahaba....

K' Matata.

Aahahahahahahaaa baada ya kurejea kusoma nilichoandika nimejikuta nakumbuka mchezo mmoja tulioufanya tukiwa vijana miaka ileeeee.

Tulikiwa vijana watupu wa kike kwa wa kiume. Tulikuwa eneo la fukwe ya bahari aka beach. Mchezo huo ulitaka kila mwanaume achague mwanamke bila kujua akishakumchagua nini kitafuata...

Baada ya hapo wakaambiwa wanaume wajipange mstari na wanawake waliowachagua wakae nyuma yao.

Muongoza mchezo akasema mchezo ni mbio fupi anayetakiwa kukimbia ni mwanaume ila akimbie huku akiwa amembeba mwanamke aliyemchagua. Atambebaje atajua mwenyewe ( mgongoni, shingoni, mabegani, mbele kama kupakata mtoto, kichwani mithili ya mzigo wa kuni) na wa kwanza hadi wa tatu kumaliza mbio ni washindi. Aahahahahahahaaa kila mwanaume aligeuka kuangalia aina ya mwanamke aliyemchagua na kuna jamaa mmoja alijitoa maana yeye mwembambaa Ila lichagua mwanamke XXXXL na hakutaka kuwa wa mwisho aahahahaa

Ulikuwa mchezo wa kufurahisha wakati ule ila wenye mafunzo, na nilikuja kuuelewa tafsiri yake baadae sanaa maisha yamechanganya niko kwenye 40+ hivii.
 
Ulikuwa mchezo wa kufurahisha wakati ule ila wenye mafunzo, na nilikuja kuuelewa farsightedness yake baadae sanaa maisha yamechanganya niko kwenye 40+ hivii.
Hahahha... nataka kujua matokeo yako yalikuaje? Aliyekuchagua alikuweza?
 
Back
Top Bottom