joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, sisi tunazungumzia biashara ambayo inawanufaisha wananchi wa kawaida, wakulima, viwanda na wafanyabiashara wanapiga hela, ninyi mnazungumzia kupitisha mizigo ambapo KRA ndio "main beneficiary" na wananchi wachache Sana.Source Ni gazeti ya Tanzania!!!
Ukiremember ONLY 3% of Uganda import passes through Dar!!!





Tony254