Ni nini chanzo cha ugomvi kati ya Makonda wa daladala na Wanafunzi..!??

airwing

airwing

Senior Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
137
Points
250
airwing

airwing

Senior Member
Joined Dec 8, 2017
137 250
Hesabu ya Boss!! Ila wakikaa kwa kupakatana Wanakua wanafidia ile nauli ya Seat kwa hiyo inakuwa amani tu..
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
17,832
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
17,832 2,000
kwa sasa nauli imepanda.ugomvi huo umepungua.
Wakati nasoma nauli ilikuwa sh 50.
Hapo ndo kulikuwa na utata.
nilikuwa nikishika mlango lazma niingie.
 
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
3,944
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
3,944 2,000
Makonda washenzi sana..
Yaani wewe ukikosa sh 100 wanaweza kuongea na kukudharirisha mbele ya halaiki.
Lakini yeye akikosa chenchi yako sh 500 anaona kawaida tu..
Wale jamaa sijui wote wanatumia bangi ya aina moja?
 
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,074
Points
2,000
Ulimbo

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,074 2,000
Mtu anunua gari kwa ajili ya biashara, amkabidhi dereva na konda kwa makubaliano ya kuleta hesabu kiasi fulani, leo kwa ubabe wako unataka wanafunzi wabebwa wakati bei yao ni ndogo? Wanafunzi wengine ni wakorofi, wanajaa kwenye gari wanakaa kwenye seat, watu wazima wakipakia hawawapi nafasi, ukimwambia wampishe vurugu tupu.
Kuondoa ili tatizo, Makonda anunue magari ya wanafunzi ili aone kama hiyo nauli inaweza kuendesha hiyo biashara.
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
9,749
Points
2,000
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
9,749 2,000
Mtu anunua gari kwa ajili ya biashara, amkabidhi dereva na konda kwa makubaliano ya kuleta hesabu kiasi fulani, leo kwa ubabe wako unataka wanafunzi wabebwa wakati bei yao ni ndogo? Wanafunzi wengine ni wakorofi, wanajaa kwenye gari wanakaa kwenye seat, watu wazima wakipakia hawawapi nafasi, ukimwambia wampishe vurugu tupu.
Kuondoa ili tatizo, Makonda anunue magari ya wanafunzi ili aone kama hiyo nauli inaweza kuendesha hiyo biashara.
Anazungumzia makondakta sio Makonda RC.
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
7,540
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
7,540 2,000
Vaa uniform panda daladala ukaone yaliyomo yamo au simulizi tu
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
33,006
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
33,006 2,000
Wote ni wajuaji na wote ni wababe...Cc: mahondaw
 
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
14,270
Points
2,000
Baba Swalehe

Baba Swalehe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
14,270 2,000
Hakuna kiumbe mbishi kama konda
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
5,073
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
5,073 2,000
Bandiko teyari nisaidieni nafanya research ya chuo
kote kote nuksi tu maana wanafunzi wakiingia kwenye daladala wanafujo hatari, alafu konda nae anatazama hesabu hapo patamu.
 

Forum statistics

Threads 1,336,283
Members 512,585
Posts 32,533,420
Top