Ni nini chanzo cha ugomvi kati ya Makonda wa daladala na Wanafunzi..!??

Hesabu ya Boss!! Ila wakikaa kwa kupakatana Wanakua wanafidia ile nauli ya Seat kwa hiyo inakuwa amani tu..
 
Makonda washenzi sana..
Yaani wewe ukikosa sh 100 wanaweza kuongea na kukudharirisha mbele ya halaiki.
Lakini yeye akikosa chenchi yako sh 500 anaona kawaida tu..
Wale jamaa sijui wote wanatumia bangi ya aina moja?
 
Mtu anunua gari kwa ajili ya biashara, amkabidhi dereva na konda kwa makubaliano ya kuleta hesabu kiasi fulani, leo kwa ubabe wako unataka wanafunzi wabebwa wakati bei yao ni ndogo? Wanafunzi wengine ni wakorofi, wanajaa kwenye gari wanakaa kwenye seat, watu wazima wakipakia hawawapi nafasi, ukimwambia wampishe vurugu tupu.
Kuondoa ili tatizo, Makonda anunue magari ya wanafunzi ili aone kama hiyo nauli inaweza kuendesha hiyo biashara.
 
Anazungumzia makondakta sio Makonda RC.
 
Vaa uniform panda daladala ukaone yaliyomo yamo au simulizi tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom