Huo unaitwa unyenyepa au unyanyapaajiHuwa sipendi kuongozana nao, ila kwenye game watamu kinouma Nouma.
Tumeshafika tunamchora tu........ Kwanza aliyemwambia yeye kwamba sisi wafupi ni wavivu Nani?????? Atutake radhi watu wafupiNgoja wahusika waje
Swadakta kumbe unatujuliagaHao watoto wanajua kudeka sana.
Pamoja na mimi kuwa mrefu, lakini wanawake wafupi kiasi ndio wananivutia.
Tumeshafika tunamchora tu........ Kwanza aliyemwambia yeye kwamba sisi wafupi ni wavivu Nani?????? Atutake radhi watu wafupi
kumbe wewe ni mfupiTumeshafika tunamchora tu........ Kwanza aliyemwambia yeye kwamba sisi wafupi ni wavivu Nani?????? Atutake radhi watu wafupi
Pamoja sana mrembo [emoji122]asante mkuu kutukumbuka na sie
Ndiyo[emoji85] [emoji85]kumbe wewe ni mfupi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]niunganishe mkuu kwenye hilo dili aisee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niko Tayar kusainiwa popote pale.... Uwe unanistua wakitakiwa wasainiwa tukasainiwe wote shooteh shost ukumbuke vyuma vimekaza ohooo!popote pale twende tu tukasainiwe
Niko Tayar kusainiwa popote pale.... Uwe unanistua wakitakiwa wasainiwa tukasainiwe wote shoo
Kwanza nna allerg nazo hizo high heels....... Ngoja njipangengoja mratibu atuhabarishe aisee !anza kupanga viwalozi !high heels tuache kwenda nazo