Ni ngumu kutuelewa

Sawa Miss Edelyn tukienda tofauti na mnavyotaka tunakuwa wahuni basi tutakuwa sawa kila nyanja kama mnavyotoka
Siyo kila nyanja ila msichepuke wala kuoa wake zaidi ya mmoja na tunaposema hivyo siyo kwamba tunataka tuwe sawa na nyie hapana bali tunasema hivyo kwa sababu ni dhambi yaani hata mwanamke kuchepuka au kuolewa na waume zaidi ya mmoja ni dhambi kwahiyo haitakiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…