Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,192
Sina hakika na hiyo imani yako ingawa swali lako hujaeleweka anyway kama unamuamini Mungu utajua kabisa kila mtu na kizazi chake alicho umbiwa na Mungu wala sivyo unavofikilia wew je ulishajiuliza kwenye familia hakujawahi kuwa na na mtu mwenye ulemavu wa ngozi or mapacha lakni watoto wakaja zaa mapacha?? UsikaliliHabarini,natumaini ni wazima.
Ngoja niende kwenye pointi
Ni hvi
Inasemekana kama wazazi wako hawakuwahi kuwa na mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana na ww kukosa mtoto.
Cc Heaven Sent Nifah
Nonesense...Habarini,natumaini ni wazima.
Ngoja niende kwenye pointi
Ni hvi
Inasemekana kama wazazi wako hawakuwahi kuwa na mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana na ww kukosa mtoto.
Cc Heaven Sent Nifah
Hebu weka swali vizuri? Mimi nina wazazi wangu then wazazi wangu hawana mtoto. How comes?
Nimewaza kuwa ni mtoto ambaye alikuwa "adopted"Hebu weka swali vizuri? Mimi nina wazazi wangu then wazazi wangu hawana mtoto. How comes?
Kasema wazazi wake hawakupata mtt....sasa yeye alitoka kwny mpapai?!
Habarini,natumaini ni wazima.
Ngoja niende kwenye pointi
Ni hvi
Inasemekana kama wazazi wako hawakuwahi kuwa na mtoto basi kuna uwezekano mkubwa sana na ww kukosa mtoto.
Cc Heaven Sent Nifah