Ni ngumu kupata mtoto

Labda alimaaniaha walezi wa mtoto fulani
Adopted child sio kuwa anakaa na wazazi bali walezi.
Some questions are too challenging
Asante kwakuwaeleza ukweli maana wanalalamika badala ya kuwaza ,challenge ndio jambo lakupambana nalo hao wanao lalamika nimeandika upuuzi ni sawa na wale wanao itikia ndio kila kitu ndio bungeni kule awataki kujadili na kufikiri
 
Kama vile cjaelewa elewa "kama wazaz hawajawai kupata mototo basi mm ctopata mtoto "
Sasa huyo mm ambaye ni mtoto wa wazaz wangu nimepatkanaje
Nimejiuliza hivyo hivyo. Hii ni chit chat labda
 
Au ulimaanisha wazazi wenye matatizo/shida ya uzazi, ila wakafanikiwa kupata mtoto mmoja tu, je huyo mtoto naye anaweza akawa na shida ya uzazi kama wazazi wake?
 
Nadhani ni katika haraka tu za ku send kwani aliona ka batery inakwisha akawahi ku send bila ku edit. Alitaka kusema; ...kupata mtoto wa jinsia....
 
Back
Top Bottom