Ni ndugu yako!

... hahahahahah lol! Nishagundua Rubani ila imenichekesha sana lol! πŸ™‚πŸ™‚

hahahahahah Captain kuna matatizo sana ya kuwa na huyu humu we acha tu
siku tukiwa tunaenda safari za mbali ntakupa story hahahaha lol
 
Reactions: BAK
Hahahahahah lol! Basi ni bora wote muwe Kurwa, si wote mliiona dunia saa, dakika na sekunde ile ile!? πŸ™‚

Ye ndo alitangulia kwahiyo uKurwa unamhusu.
 
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Watu hawakueleweni kuhus huo utani wenu mnapenda nyinyi wote wawili

nyinyi wote wawili wazuri lakini mnawachanganya watu wanafikiri mnagombana kumbe mnataniana tu mimi ninajuwa mnapendana wote wawili kiurafiki mnataniana
 
Hahahahahah lol! Basi ni bora wote muwe Kurwa, si wote mliiona dunia saa, dakika na sekunde ile ile!? πŸ™‚

Mi Kurwa yeye alichelewa sana
niliona dunia masaa 2 na nusu kabla yake..
 
Reactions: BAK
Watu hawakueleweni kuhus huo utani wenu mnapenda nyinyi wote wawili

nyinyi wote wawili wazuri lakini mnawachanganya watu wanafikiri mnagombana kumbe mnataniana tu mimi ninajuwa mnapendana wote wawili kiurafiki mnataniana

Hahahaha. . .
Hatuwachanganyi bali wanajichanganya wenyewe.
 
Watu hawakueleweni kuhus huo utani wenu mnapenda nyinyi wote wawili

nyinyi wote wawili wazuri lakini mnawachanganya watu wanafikiri mnagombana kumbe mnataniana tu mimi ninajuwa mnapendana wote wawili kiurafiki mnataniana

Ndo maana watu wanatakiwa kujifunza kutoingilia kisichowahusu..
Hawawezi jua tumekaa kochi moja hapa au la..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…