hahahahaha
Jamaniii Sports Hammer??
Akha mwenzangu, mi nataka lift kwenye huo mgari...
ila serious "Kong..." hiyo avartar yako mi hoi, full kunikumbusha yule binti wa kisarawe....
niruhusu niruke PM
bas unamatatizo ww
Ni nani huyo sasa??
labda mm,
mh kweli makubwa pia hayana tiba, bas naomba undugu maana mi watu kama ninyi ndo nawapenda
Ona sasa wambea.. . .Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Hahahahaha. . . . una mambo weye!!!Anhaa nyiee!!
waangalie... wazuriii...
Kwetu Mbeya inaruhusiwa kuoa mtu na ndugu yake!
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
eeh kumbe, alaf mi nimeshamjua ni nani
Ona sasa wambea.. . .
Bila umbea hakuna kuishi..
Na we kimekuleta nini hapa?
Kam we si mmoja wapo?
:car: napita tu!
Mi nimekuja kutoa ushuhuda.
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Mi nilishamhisi ndugu yangu na kumuibukia.
Sasa hivi tukitaniana humu watu wanadhani tuna ugomvi.
Hahahahahah lol! Hapa ni aje Twins!? ππ
Ushuhuda wa nini??
Hahahahahah lol! Hapa ni aje Twins!? ππ
hahahaha
BAK hivi bado hujagundua tu ?
Nini kimekuchekesha BAK?... hahahahahah lol! Nishagundua Rubani ila imenichekesha sana lol! ππ