Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

Kwa kifupi USA ndo wanaongoza kama unapenda series za mambo yanayoendelea dunian!!...kama ugaidi,Middle east na recent issues Ila ukitaka Nai nai nenda Korea mapenz wafilipino
 
usa-flag-hand-vector_23-2147492341.jpg
USA BABYYYY....
 
WAKENYA wako juu itafute kipepeo, utawakubali tu kama nnavyowakubali japo mi si mkenya
 
kwa muvi na series za kijasusi Marekani na Colombia ni nyoko sana hakuna wa kuwafikia ila series za mapenzi tu korea pekee
 
1- korea ni series za mapenzi, kutendana na visasi

2-uingereza ni series za ufalme, utawalaa, umalkia mwingii

3- marekani, series za vitaa, technologies, documentaries, sciences nyingii na mitamboo

4-india , mapenzii tu, Julia lia kwingii
 
Back
Top Bottom