Ni nani yuko nyuma ya BBC Swahili?

NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga
Ni vizuri BBC wakaacha unafiki wa kiwango Cha PhD inaonekana kuna watu wanatumika na BBC kuchafua watu wengine
 
...Mimi langu jambo kuhusu hizi media za nje nashanga kipindi cha nyuma kabla ya corona ilikuwa hawakosi kutangaza mambo ya ugaidi (vita vya Islamic state) ndo ilikuwa heading but ilivyoingia corona tu mambo ya vita yakapotea kabsa Sasa apo heading ikawa corona dunia nzima...

Hv sitashangaa kuona Tena baada ya corona ugaidi ukaibuka Tena uko uarabuni.

Huwa nikiunga matukio nahisi huwa kuna mchezo mchafu unachezwa kuuaminisha ulimwengu mambo ambayo hayapo kabsa.
 
NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga

The point is hata wewe umeshindwa kusema hayo mazuri ya Magufuli means hayapo.

Pili umeshindwa kutuambia kwanini vyombo vya habari vya ndani vimeshindwa kuripoti korona na matokeo yake vimekazania uchaguzi.

Na inaonesha ni wazi kuwa wewe unaamini korona imeisha bila kuja hapa na fact and figures wakati hata serikali yako ina kiri kuwa korona ipo.kwahio lengo lako mtoa mada nini?
 
Hili ndio bandiko LA kipumbavu kuwahi kuandikwa Jamii Forum ! Halafu mtoa bandiko hili anajitambulisha kua ni mwalimu !!! Halafu mnategemea wanafunzi wawe na ufaulu mzuri na washindane na wakenya na wanyarwanda !????
 
tunatamani kuona BBC ikiwa chanel ya kwanza kusema kweli na kuwafanya watu waelewe vitu ambavyo wanafanya lkn kama mwafanya vitu ambayo mpaka sisi wenyewe tunakuwa tunajiuliza imekuwaje na inaendaje siyo jambo zuri kabx .......

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Natamani hii channel ingefungiwa airtime Tanzania. Huyo Kikeke atafute uraia huko kwa wakoloni
wewe una uwezo huo, FUNGA MASIKIO YAKO NA WALE WOTE WASIOTAKA KUSIKIA ZIBENI MASIKIO. SIMPLE! FUNGULIA TBC 24 HRS siku 7 kwa wiki
 
BBC nao wamezidi hawana nia nzuri lakini pia TBC wamezidi chombo hakikosoi mambo ya wazi wanasifu tu,
 
DW wako smart sana lakin hawa BBC na VOA wanakwama sana kama TBC sisi tunataka waripoti habari zibalance sio maovu tu na kusifia tu
 
Ni kweli BBC Swahili ni shirika la habari na wakiripoti habari zote ni sawa, lakini kwanini walipoti habari zinazoonesha upande mmoja tu.

Kanuni moja ya taaluma ya uandishi wa habari ni kubalance story. Kwa wasiripoti ambavyo Tanzania ilipambana na ugonjwa wa korono bila ya kuwa na lockdown

Issue ya 5G inavyohusishwa na kuenea kwa COVID ni habari iliyofahamika kwa watu wachache na ilihitaji watu kama Gwajima katika nchi kuelimisha umma.

Kwa nini BBC Swahili wasiripoti jinsi ambavyo Tanzania imefungua mipaka yake baada ya korono karibia kuisha Tanzania.

Kwa nini BBC Swahili isitangaze kwamba sasa Tanzania inaruhusu watalii kuingia nchini na kwamba Tanzania imefanikiwa kuidhibiti korono.

Kama wewe ni mtanzania mzalendo kuwezi kumfumbia macho mtu yoyote anayejaribu kuipaka matope nchi yetu. Huwezi.

Mtu yoyote au chombo chochote cha habari kinachopaka matope taifa letu pendwa la Tanzania au watu kama Gwajima wanaotetea maendeleo ya Taifa sio cha kufumbia macho.
 
The point is hata wewe umeshindwa kusema hayo mazuri ya Magufuli means hayapo.

Pili umeshindwa kutuambia kwanini vyombo vya habari vya ndani vimeshindwa kuripoti korona na matokeo yake vimekazania uchaguzi.

Na inaonesha ni wazi kuwa wewe unaamini korona imeisha bila kuja hapa na fact and figures wakati hata serikali yako ina kiri kuwa korona ipo.kwahio lengo lako mtoa mada nini?
Kama Korona ipo kwa nini wizara ya afya haitoi takwimu.

Kama korona ipo kwa nini vyuo na shule vimefunguliwa.

Kama korona ipo kwa nini matamko ya "vaa barakoa" yamepungua.

Ukisema korona ipo wakati rais ameruhusu shughuli ziendelee unataka kusema rais au hana akili au hawajali watanzania...
 
NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga
BBC nao watakuwa wako kwenye project ya Corona ndiyo maana wako kimaslahi zaidi hawana jipya
 
Mbona clouds tv wanapendelea ccm habari za upinzani ni za dakika chache sana ila tunawaangalia hatujawasusa so kama hamtaki kuangalia BBC acheni channel zipo za kusheba mbona
 
BBC ni chombo cha habari kinachoaminika kutoa habari sanifu. Inasikitisha sana wanapoanza kutupa sababu za kudoubt juu ya utoaji wao wa habari.

Ujumbe wa 5G kutoka kwa Askofu Gwajima kweli ulikuwa wa kuelimisha jamii. Tunamuona mchungaji huyo ni miongoni mwa wachache walioweza kusimama na kuelimisha jamii kipindi cha janga la dunia.

Lengo lake ni moja na chombo chenu cha habari ambapo wote mnatoa elimu (creating awareness to the public not only Tanzanians but viewers across the world).

Sisi kama Watanzania tunachokiona ni uchochezi. Msikubali kuyumbishwa kwa muda wa miezi kadhaa mkapoteza image yenu kwa watu wanaowategemea for a longer period of time
 
Mlitaka BBC iwe na vipindi kama vya kishindo cha awami ya tano au

BBC ni chombo huru cha habari siyo kama tbc
 
BBC ni chombo cha kufikishia watu habari lakini haipelekei wao kufanya tu vile wanavyopenda na lazima wazingatie kanuni zao

Eti umesemaje hapa?

"Lazima wazingatie kanuni zao!!?"

Zipi hizo?

Wewe unadhani wamerusha matangazo yao kwa "kuzingatia kanuni zenu nyie??"

Okay, wait!...

Ni wazi umekosea kuandika wewe.

Hopefully, ulikuwa na maana ya; "....lazima wazingatie kanuni za CCM...", right?
 
NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga
Huna akili Ata kidogo. Eti wananchi wana Imani na Gwajima!! We nawe lazima una ukichaa, Yani mcheza picha za ngono? Mla kondoo? Mkabila ? Wananchi gani unawaongelea ? Labda misukule Yake.
 
Back
Top Bottom