Ni nani yuko nyuma ya BBC Swahili?

Ni nani yuko nyuma ya BBC Swahili?

Natamani nikutukane ila basi tu..ila ww ni mjinga sn.
 
Natamani hii channel ingefungiwa airtime Tanzania. Huyo Kikeke atafute uraia huko kwa wakoloni
Kikeke ana kosa gani?
Yeye anafanya kazi kwa mujibu na mwongozo wa mwajiri wake.

Usishambulie gari lililofanya ajali, kamata dereva wake.

Mimi sioni kosa la BBC...ile ni bidhaa sokoni, kama huitaki pita kimya.
 
Kwani TBC imezimwa siku hizi, nadhan tunapaswa kuitofautisha BBC na TBC
 
BBC nilishawashtukia kitambo tu. Wamekaa kwa mlengo wa magharibi. Wanatuteka kisaikolojia kwa kujiita BBC Swahili...lakini ni wakoloni mambo leo wale. Know you know
BBC ni ya mabeberu. Mabeberu wanatumika kwa maslahi ya Kenya na wasioipenda Tanzania, Kenya ni Taifa linaloangaika sana na nchi yetu, wao wanataka kuona kuwa wanaendelea kuwa juu ya Tz na harakati za awamu hii ni za juu na zinaitishia sana nchi yao, Wapinzani wao uwepo Wa JPM umewafanya wasiwe na deal yoyote ndio maana wao wako kupinga lolote jema linalofanywa katika awamu hii, hawa BBC dawa yao ni kutowasikiliza kabisa.
 
NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga
Nenda kafundishe nafasi za teuzi zimeisha. La sivyo uwe mvumilivu Kama mme wa Zwena(Hassan Ngoma)
 
BBC ni ya mabeberu. Mabeberu wanatumika kwa maslahi ya Kenya na wasioipenda Tanzania, Kenya ni Taifa linaloangaika sana na nchi yetu, wao wanataka kuona kuwa wanaendelea kuwa juu ya Tz na harakati za awamu hii ni za juu na zinaitishia sana nchi yao, Wapinzani wao uwepo Wa JPM umewafanya wasiwe na deal yoyote ndio maana wao wako kupinga lolote jema linalofanywa katika awamu hii, hawa BBC dawa yao ni kutowasikiliza kabisa.
Kweli kabisaaaaaaa
 
BBC hawatangazi lockdown ya uingereza lakini utawasikia kuhusu Tanzania
 
Majinga Aya BBC akili Amna kabisa kwanza tumegaili watanzania kuwasikiliza ntatupoteza km kazi Amna za kufanya wapeni wafanya kazi wenu likizo wapumzike
 
Habar mbaya kwako ndio nzur kweny vyombo vya habar
 
The fear of unknown inakusumbua.

Yaani yeyote anapotoa maoni kinzani na serikali anakuwa anatumiwa? Kuna kuwa na "mtu fulani nyuma yake?"

Yaani unataka kila mtu, kila chombo cha habari kiimbe propaganda zenu na za Magufuli?

Wengine wana akili na siyo "ndege kasuku" anayeiga kila sauti na kupokea tu bila kujiuliza maswali kwa kila kisemwacho na watawala waovu.

Ukisema upendalo watu wasikie, ni lazima waende kuchunguza na upande wa pili kuna nini. Hicho ndicho msichotaka kukisikia. Lakini mpende msipende, lazima msikie tu.

Kwanini mnaogopa na kuanza kukimbia mpaka vivuli vyenu nyie?
Wewe ni mpumbavu. Na huna uzalendo
 
Mkuu tena watangazaji ambao ni watanzania ndiyo wako mstari wa mbele kuisemea mabaya nchi yao.

Wasikilize watangazaji ambao ni wakenya kamwe hutawasikia wakiisema vibaya nchi yao. Na ikumbukwe polisi wa kenya waliwaua watu waliyokiuka masharti ya lockdown. Tena mwengine aliyeuawa ni mwendesha bodaboda ambae alikuwa akimpeleka mjamzito hospital kujifungua na mwengine ni mtoto mdogo aliyekuwa velandani nyumbani kwao. Lakini matangazo hayo hayakusikika BBC.
 
Bb
NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI?

Kama tunavyofahamu wote kuwa BBC Swahili ni chombo cha habari kinachoripoti habari za ulimwengu wa njia ya Kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa letu Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa chombo hiki kimekuwa kikiripoti taarifa zinazotokea ndani ya nchi kwa njia inayoleta ukakasi kwa watanzania hasa wazalendo wa nchi yetu pendwa Tanzania.

Dunia nzima ilikumbwa na janga la homa ya mapafu COVID-19 ambayo imekuwa gumzo duniani kote ikipelekea maisha ya watu kubadilika na tabia mpya kuzaliwa.

Katika kupambana na janga hili lililotishia sana maisha ya watu, Wizara ya Afya iliyochukua tahadhari zote kama zilivyoelekezwa na wataalamu mbalimbali wa afya ndani na nje ya nchi. Jitihada hizi kwa mara nyingi zilibezwa na kuhujumiwa kupitia chombo cha habari cha BBC Swahili kwa kuripoti habari zenye kutia hofu watanzania na kukosoa utendaji kazi wa wizara ya afya hapa nchini.

HII INAPELEKEA KUHOJI NI NANI YUKO NYUMA YA BBC SWAHILI

Ni kweli kwamba hamna anayewapangia BBC Swahili waripoti nini, lakini pia wajue tuna ruhusa ya kuhoji wanachoripoti hasa kama kina maslahi na nchi yetu.

Kuna mambo mengi yaliyofanywa na Rais wa Tanzania mheshimiwa John Magufuli kwa kipindi cha miaka mitano ya muhula wake wa kwa za wa urais; chombo hiki kimekinga mgongo kutoongelea mambo haya kabisa huku kikiwa mstari wa mbele kuwapa nafasi wale wanaoonesha nia ya kuikosoa na kupinga serikali ya Tanzania pamoja na utawala wa rais Magufuli.

Wakati huu ambao vuguvugu la uchaguzi linaendelea kupanda na kila kona gumzo kuu ikiwa ni uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, yameonekana matukio mengine ambayo sio ya kufumbia macho hasa kutokana na sintofahamu kwamba chombo cha habari cha BBC Swahili kinafanya vitu hivi kwa ajili ya kumnufaisha nani hasa.

Katika kipindi ambacho Tanzania imekuwa kwenye mapambano na janga la COVID-19, muhubiri mmoja hala nchini mwenye maelfu ya wafuasi ambaye ni mwanzilishi na msimamizi wa makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, Askofu Josephat Gwajima alikuwa mstari wa mbele akitoa elimu kwenye jamii kupitia vipindi vya ibada kanisani kwake.

Siku ya Jumapili tarehe 05.07.2020 BBC Swahili kupitia ukurasa wao wa Twitter walichapisha habari inayolenga kukanusha kile Askofu Gwajima alichosema kuhusu hatari ya mionzi ya 5G na jinsi unavyoathiri afya ya seli katika mwili wa binadamu.

Leo tena tarehe 10.07.2020 BBC Swahili imechapisha taarifa ya kuondolewa kwa ujumbe unaofanana na huo kwenye ukurasa wa Instagram wa Askofu Gwajima. Hii bila shaka ni kuijulisha dunia mafanikio ya jitihada zake za kutaka kile alichokiongea Askofu Gwajima kisisikike kwa watu duniani kote.

Ikumbukwe kuwa Askofu Gwajima ni mtia nia wa kiti cha Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM katika jimbo la Kawe- Dar es Salaam. Hii imezua sintofahamu kwa maelfu ya watu nje na ndani ya nchi wanaompenda na kumfuatilia Askofu Gwajima huku wakiamini ni mtu ambaye amejitoa sana katika kipindi kigumu cha janga la Corona hasa ukizingatia hofu iliyokuwa imetanda.

HII IMEPELEKEA KUHOJI TENA; NANI ALIYE NYUMA YA BBC SWAHILI?

Je, kuna mtu ndani ya Tanzania ambaye anawaza kufanya hivyo kutomchafua Askofu Gwajima na kuondoa imani kubwa iliyo kwa wananchi juu yake?

Je, BBC mliwezaje kufahamu kuwa ujumbe umefutwa kwenye ukurasa wa Instagram? Hii inaleta maana kwamba jitihada zote za kuondoa ujumbe huo zimefanywa nanyi. Nani hasa anawatuma au anawaomba kufanya hivyo.

Je, vyama vya upinzani ndio vinafanya jambo hili? Kwanini BBC Swahili mtumike kisiasa katika jambo hili?

Je, hamuoni wafuasi wenu wanafatilia taarifa kwenye kurasa zenu watapunguza mapenzi nanyi hasa ukizingatia kuwa wapo watu wengi ambao wasingependa kabisa Askofu Gwajima aonewe?

Je, hamuoni kuwa mnachofanya ni shambulio binafsi ambapo chombo cha kimataifa kama BBC Swahili kufanya hivyo ni kushusha hadhi yenu na kutia doa ubora wa taaifa zenu?

Ikumbukwe watu wenye uhusiano wa moja kwa moja na BBC Swahili wanajulikana na tungependa serikali iwachunguze na kuangalia mahusiano yake na jambo hili. Hatutakubali hujuma za aina yeyote kwenye nchi yetu.

Kuona mabaya tu ya nchi na ukatafumbia macho mazuri ya yanayofanyika kila siku ni ujumbe wa aina yake kuonesha uadui wa kimaslahi au kutumiwa na mtu au kundi lenye chuki binafsi.

USHAURI WANGU

Endeleeni kuripoti habari zenye kujenga na kuelimisha. Acheni taarifa zenye mashambulio binafsi kwa mtu. Hii kamwe haitawajenga, kumbuka BBC ni taasisi, hii chuki itaota mpaka ndani ya taasisi.

Mzalendo
Mwl James Katunga
BBC

Ukishaona Hivo Ujue # Tayarii Kuna wanao iongoza hiyo media ambao Wana lengo lao binafsiii..
 
N

BBC Swahili wameanza,kupotea kazi yao inatakiwa kuripoti Taarifaa za kujenga jamii na sio kubomoa au kusababisha machafuko,,,
# Nilitegemea Taarifaa ya Gwajima wawe wa Kwanza kuihoji lakini haijawa hivo
 
Mpaka hapo,Tunaamini kuwa wanatumiwa ,kipindi cha corona ilitakiwa wawe wa Kwanza kusaport Maamuzi ya Raisi ,,Lakini wakawa ndo wanapinga ,na Kutoa Taarifaa zisizo Sahihi..
Gwajima alisimama Kuisimamia Tanzania Kuhusu Janga la corona ,Sikuona hata kumsaport ,,,,Yani leo post imefutwa ndo wanatoa taarifa
 
Kimsingi hii kitu hata mimi imenitia mashaka sana....

Nina wasi wasi na zile page kuwa anaezisimamia weledi wake kuhusu habari questionable!
 
Kuna watu wana mawazo ya aina yake,

Nchi yao inasemwa vibaya nawe umo humo ndani bado unachekelea.
 
Back
Top Bottom