Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,767
- 4,035
Kutokana na hali hilivyo kwa sasa hapa Tanzania, nimekuwa nikijiuliza mara nyingi ni nani mwenye maamuzi ya mwisho (Final say) hapa tanzania kutokana na maovu mwengi yaliyoifunika nchi hii yakiwepo hasa yakiwepo hasa haya UFISADI ambayo yamesababisha nchi kuyumba katika maeneo mengi yakiwepo ya kiuchumi, kiafya, Kiulinzi, kielimu, kimaadili n.k.
1: Mwanzoni nilifikiri ni Rais; Lakini sijaona walakusikia maamuzi anayo toa yakifanyiwa kazi ipasavyo, lazima maamhuzi yake yakutane na vipingamizi vingi tu, na inapofikia hapo, basin aye ananyamaza.
2: Nikafikiri kuwa ni mawaziri: Hao ndo kabisaaaa!. Wanatajwa w2azi wazi kwenye hujuma mbalimbali hapa nchini.
3: Nikafikiri kuwa ni Wabunge: Hawa wamekuwa wakilumbana wenyewe kwa wnyewe bungeni na imefikia hatua wanataka kugawanyika. Mahamuzi wanayoweka yanakoselewa waziwazi na wtuhumiwa.
4: Nikafikiri kuwa ni Jeshi la polisi: Hawa wanaendesha na wenye pesa.
5: Nikafikiri kuwa ni TAKUKURU: Nakose lugha ya kuielezea kwani ni aibu tupu.
6:
7: n.k, n.k
Wana JF naombeni msaada wenu, ni nani mwenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii ambaye akitoa amri, ni lazima hilo jambo litekelezwe?.