Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,701
- 2,613
Ahh wapi, nafuatilia sana blackberry, mauzo ya simu za B10 ovyo kabisa, kuna kila dalili kuwa wanataka kuiabandon kama walivyoabandon tablet yao ambayo ninayo.Inarudi kwa kasi ya ajabu..
Ahh wapi, nafuatilia sana blackberry, mauzo ya simu za B10 ovyo kabisa, kuna kila dalili kuwa wanataka kuiabandon kama walivyoabandon tablet yao ambayo ninayo.Inarudi kwa kasi ya ajabu..
BlackBerry OS 10??? Seriously??? Bora hata ungeniambia Windows Phone 8 kidogo ningeweza kukubaliana na wewe.
This os10 is a bomb..
Kamwe hutajutia charminglady mie na q5 yangu najuta kwanin nlinunuaga zile nyngne..
Kati ya hizo ulizotaja ni instagram tu haipo,usiandke kabla ya kujua..Uje na hii hoja siku ikiwa na Instagram, Dropbox, Skydrive na Flipboard. Kama ni kutumia zile za Android kwa ku side-load basi heri mtu akatumia simu ya Android kabisa. Na BB inakufa kweli, huku watanzania ndio tunaibeba beba kama nchi nyingine maskini ila ukweli ndio huo kama hautaki koma hivyo hivyo, irrationality is a bliss pia.
Kati ya hizo ulizotaja ni instagram tu haipo,usiandke kabla ya kujua..
Lakin znafanya kazi efficiently kuliko znazvyofanya kwenye android..wakati bb wanatangaza store yao ina app 120,000 iligundulika app 47,000 zimetengenezwa na developer mmoja tu. hii inaashiria bb hawana app bali wanaport tu toka android wanaleta. app zote kubwa kama skype, facebook sio official bali ni port tu za android.
Lakin znafanya kazi efficiently kuliko znazvyofanya kwenye android..
Chief hii os10 jamaa wamejpanga,narudia tena walichozidiwa na android ni app na umaarufu tu..