Ni nani/kina nani wamiliki wa PANONE Company Ltd?


Dah kweli we wa Moshi original..., tena Uru Kishumundu (kama sijakosea)!
Ni Moshi tu ndiko nilikosikia hii lugha ya WAIZI!!
Kiswahili fasaha ni MWIZI au WEZI Mkuu na sio WAIZI!
 
Naona PANONE sasa wamekuja na strategy ya kufungua SuperMarket katika vituo vyao vingi vya mafuta, na Super market zao ni za kisasa kabisa. Hongera sana Patrick na team yako
..Ujasiriamali ni kuona fursa na kuitumia fursa hio, ni ubunifu
 
Wabongo tumieni ubongo kujadili/kufikiri mambo ya msingi na kupambana na maisha yenu kujiletea maendeleo badala ya kupoteza muda kujadili watu kuwatungia uongo wa kale kabisa usio na mashiko.
 
Panone anaongea na ''MSHUA'', taarifa za kiitalijensia zimeonyesha kuwa mtoto wa mshua amekua akifanya safari za machame mara kwa mara na huwa anafikia hotelini AISHI PROTEA HOTEL na alionekana akifanya mazungumzo na panone. hii inaonyesha mshua na mwanae wana ''interest'' katika biashara zake.
 

Mra. mba?!!!
 
LIZIWANI CHIKWETE amebebeshwa kila kitu, kila kinachoonekana LEDIO mbao zinazusha chake....ona sasa inavyoanza kuonekana mchana kweupe
 
Hivi mnajifanya hamjui ee. Ni hivi Precision Air, na Panone vyote ni vya Ridhiwani = Kikwete Kikwete alikwenda kufungua yard ya Precision Air kwa nini asifungue ya ATCL ? Kisingizio anamiliki Michael Shirima. Wakati nimetembelea Kaskazini ukiona uwekezaji Wa Panone kituo kimoja sio chini it Bil 3. Huyu Patrick utajiri wale wafanyabiashara wawili Wa madini Wa ARUSHA waliouwawa?
 

uongo mwingine ndo huu. [Patrick kaanza kupata hela kabla hata Rz hajamaliza shule ya ,msingi kwa taarifa yako.
af uongo wa kusema anaendaga machame nani kakuambia?? hivi mara ya mwisho patrick mwenyewe kuruka machame unaweza kuitaja??

naona manatokwa na roho sana kwa vitu vya watu. ukitaka kumjua vzr basi omba uambiwe ama uelekezwe
 

Alikuwa na duka pale Intel training kwa juu karib na Nakumatt jamaa ni mpiganaji haswaaaa
 
Naona mtu ameuliza swali watu wanajibu na vijembe juu.kwani nini cha ajabu kwenye swali?sijaona mtu kasema mwizi people are just inspired na kazi aliofanya.pili tusiogope kuwapa watu credit zao,au hata kuwafahamu.mambo ya rizmoko sasa too much....wahangaikaji wengi tu wapo ila kimyaaa.
 


Chakachua +Transit =Utajir wa Ngiloi
 

Kweli kabisa mkuu Ngiloi hana makuu kabisa. Mtu wa watu. Heko Patrick Ngiloi Olomi
 
Habarini wakuu

Hivi huyu Tycoon na Bilionea anayemiliki hizo hazina hapo ni muhindi au mbongo? Natafuta Ajira na nataka nitume CV kwa HR dept yao,kwani toka nimemaliza chuo mpaka leo hii nasugua tu soli za viatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…