UzushiHao ni magufuri, sita, mwakyembe, mwandosya, mwanri, kagasheki na
tibaijuka.
Hao ni magufuri, sita, mwakyembe, mwandosya, mwanri, kagasheki na tibaijuka.
Huyu kwa sasa ni mgonjwa na nadhani kutokana na umri wake inawezekana hata utendaji wake ukawa umepungua![kumbuka ugonjwa hauchagui wala hakuna anayeuomba pia umri ni kigezo kikuu cha UFANISI!]
Mkuu mbona hawa wote uliowataja ukiondoa mzee wa spidi na viwango (6), ni wale waliokwisha kunywa maji ya bendera ya kijani?Hao ni magufuri, sita, mwakyembe, mwandosya, mwanri, kagasheki na tibaijuka.
Nyalandu
David Mathayo
ni propaganda tu hizi ..... ...... Inashusha hadhi ya mheshimiwa mbowe ..... Mind that """" hata ccm kwa sasa haina kitengo cha propaganda......... Hakuna atakayeacha uwaziri aje cdm never happen ........ Je posho hawapokei? Kina zzzzk
Uzushi
JK na Pinda nao wame-book nafasi Chadema!