Ni nani huyu Cool 9 Jamani?

I see huyu chalii alikuwa ni noma, yeye pamoja na ndugu zake kina Shedadi, Ayat na dada yao alikuwa anaitwa Chola. Kwao mtu aliyekuwa ametulia alikuwa mdogo wao alikuwa anaitwa Ally Tungu. Utemi wa kuchukua mademu kinguvu alikuwa haufanyii disco tu bali hata mitaani, akimtaka demu halafu akatae maisha yake yatakuwa magumu sana hivyo wengi walikuwa wanakubali yaishe.

Alipigwa risasi na dereva wa lori baada ya kusimama mbele ya lori hilo na kulizuia lisiondoke mpaka atake yeye, akamkuta mzee wa kihehe amedata zaidi yake akamuwasha. Kaka yake Ayat alifariki kwenye tukio la ujambazi.

Nakumbuka siku moja disco alikuja akakuta watoto kibao ambao walikuwa na kiingilio pungufu wako nje akawaambia leteni hela mlizonazo nitawaongezea muingie wote. Basi watoto wakampa hela zote baada ya hapo jamaa akazama ndani (na alikuwa halipi kiingilio, muulizeni Papaa Felicia Chaula wa FM academia anamfahamu vizuri).

Wale watoto wakawafuata Polisi wa patrol wakamshitaki. Polisi kuja jamaa akatoka akawaambia kwa ukali kuwa wasimsumbue yuko kwenye starehe zake kama wana shida naye wamfuate kesho, Polisi wakaondoka wamenywea. Dah!

Beefinjector tupe tupe baba tupe stori zake inaelekea unamjua vizuri sana,jina lake kamili alikuwa anaitwa nani mana hilo cool 9 ni la kizungu? chansela,selemani mwarabu wote hao unawajua?
 
huyu bwana alikuwa mtu wa iringa tulikaa nae maeneo ya kitanzini baadae akahamia dar
nakumbuka enzi hizo uwanja wa samora mechi ya lipuli na tukuyu stars aliua mbwa mbili za polisi
hivyo polisi wote walimuogopa na kutomsogelea.
R.I.P Brodha
 
daaaaah huu uzi umenifanya nitoe machozi mana da guy alikua anaishi nyumba ya pili yake kutoka kwetu pale Kitanzini kwa mzee Kalinga,ni watu ambao tulikua kama ndugu.

daaaaah huu uzi umenifanya nitoe machozi mana da guy alikua anaishi nyumba ya pili yake kutoka kwetu pale Kitanzini kwa mzee Kalinga,ni watu ambao tulikua kama ndugu.

Tupe basi stori zake je unamjua mdogo wake anayeitwa Van Dame wa magomeni?unasema kwao iringa mi najua kwao ni ubungo kwa baba yake na ndo alikokuwa anakaa na nyumba yao hadi leo ipo.kati ya yeye na ayati nani alikuwa mkubwa nasikia alikuwa na dada yake alikuwa anapiga naye? mkatabafeki usituache hewani tupe stori zake bwana,je jina lake la kuzaliwa ni nani mana hilo kool9 ni la kizungu?.
 
jina lake halisi ni hilohilo kaka kulnine yahya,dada yake alikuwa anaitwa Chola,
Hayati ndo alikuwa mkubwa,kaka yao mwingine alikuwa anaitwa Shedadi
Nakumbuka enzi hizo watoto wa mtaani na wengine wanatoka mjini kuja kuangalia mazoezi yao
ya ngumi nje ya nyumba yao.
Dar mzee Yahya alihamia tu kaka ila iringa kitanzini ndo walipokulia.
Kulnine ana mtoto mkubwa tu nae anamwili ka wa baba yake anaitwa Ashlafu.
 
daaaaah huu uzi umenifanya nitoe machozi mana da guy alikua anaishi nyumba ya pili yake kutoka kwetu pale Kitanzini kwa mzee Kalinga,ni watu ambao tulikua kama ndugu.

Duh mkuu wanasema Birds of a Feather..., isije ikawa na wewe ulikuwa unaonea watu kitaa kwa kuwapa kichapo na kuwanyanganya wasichana wao
 
jina lake halisi ni hilohilo kaka kulnine yahya,dada yake alikuwa anaitwa Chola,
Hayati ndo alikuwa mkubwa,kaka yao mwingine alikuwa anaitwa Shedadi
Nakumbuka enzi hizo watoto wa mtaani na wengine wanatoka mjini kuja kuangalia mazoezi yao
ya ngumi nje ya nyumba yao.
Dar mzee Yahya alihamia tu kaka ila iringa kitanzini ndo walipokulia.
Kulnine ana mtoto mkubwa tu nae anamwili ka wa baba yake anaitwa Ashlafu.

mkatabafeki hapo mi nakukubali sana sasa alikufa mwaka gani na kwa ugonjwa au tatizo gani embu tupe data bwana.
 
haya na nyie wa dodoma njooni na stori za black madonna, sasa
Black Madonna vilikuwa ni vikundi vya watoto wa shule za msingi waliokuwa wakikutana huko Dodoma Mlimani chini ya kiongozi wao Edward Ndomba nakumbuka ni marehemu na kifo chake kilitokea katika purukaushani za namna hiyo hiyo kwa mtu kuchomwa na mshale kichwani. Hawa watoto walikuwa ni wale wa Halaiki za Chipukizi
Wababe wa Dodoma waliodumu kwa muda mrefu ni km kina Abdul Yusuf (kwa sasa km miaka 3 ni marehemu) huyu ndiye tuliyemuogopa kwani akikuona una Demu au kitu km gari atakufuata umlipe asikufanyie fujo anweza kujilengesha kwenye bumper la gari ukiendesha na kudai umemgonga umlipe la sivyo vagi.
Matajiri wa Enzi hizo walipenda kumuweka baunsa milangoni wakati wa filami za kina Bruce-Lee au SHOLAY huko N.K. na PARADISE
Siku za mwishomwisho alitandikwa na watoto wadogo wa vyuo walokuwa hawamjui km ni Baunsa wa Dodoma
Mwingine ni Liondo naye amefariki mwaka huu, naye alikuwa yumo katika list ya wanaoogopewa au kujua Mission town za nani ataibiwa na hivyo kuwafanya Matajiri wa hapa mjini na wenye mabaa kumpa kazi ha za ubaunsa
 
na mimi nauliza yule mtemi wa mitaa ya sinza miaka ile ya 2000-2006 alikuwa anaitwa "DAME" kashatoka jela?kuna jamaa aliniambia yupo gereza la segerea akinyea debe.

Mda wote nasoma uzi huu nlikuwa natafta stori za dame.Nafkiri alikuwa noma kuliko hata huyo cool 9 wao.Nliskia yupo jela ila sjui kwa msala gan.Wenye info zaid 2peane jaman
 
Mda wote nasoma uzi huu nlikuwa natafta stori za dame.Nafkiri alikuwa noma kuliko hata huyo cool 9 wao.Nliskia yupo jela ila sjui kwa msala gan.Wenye info zaid 2peane jaman

huyo dame wa sinza anaitwa Ayubu mkobo alishachezea miaka yake mi 3 jela sasa yupo nasikia yupo kinondoni,alipotoka kakuta dingi kandei tayari halafu ndugu zake washauza nyummba yao kila mtu kasepa na chake hivyo akabaki anaganga njaa tu kinondoni,kuhusu yeye na kool9 nadhani dame mwenyewe anamjua vizuri huyu jamaa,tatizo la dame ngumi hawezi ila yeye ana nguvu tu hivyo anapigwa na watoto wadogo kila mara,kool9 alikuwa mwili nyumba halafu hadi kata alikuwa anaziweza yote anayoyafanya dame miaka ya karibuni alikuwa anamwiga huyu jamaa mana Dar nzima uliza hakuna asiyemjua huyu KOOL9.Halafu Dame alikuwa ni mwizi tu wa kukaba ngeta
huyu bwana alikuwa na nguvu na alikuwa ni jambazi mkubwa sana polisi wote walikuwa wanamwogopa,siku moja polisi walienda kwao kumkamata wakamkuta anapiga nondo walipomwona tu wakaanza kumbwela akatoka nje akaenda kuwaambia waondoke wakaondoka Dame naye alikuja kuiga tukio hili baadae ukiangalia matukio yote ya dame yalimwiga huyu jamaa.
 
cool 9 alikuwa ni mtu maarufu sana mkoa wa iringa miaka ya 80- 90 nakumbuka kipindi dada zangu wakiwa wanasoma secondary wakiwa wanasafari za disco alikuwa anawasumbua sana ila kunasiku sister alikuwa anatoka iringa hotel kwenye graduation cool 9 akawa anataka kumfanyia fujo sister wacha ale kichapo na bro wangu tangu siku hiyo akawahawasumbui dada zangu. Mob ya kul nine ilikuwa kina chancella, shedad na vijana wengine ila baada ya shedad kufa kidogo utemi ukapungua mkoani kwetu mpaka walipojitokeza kina shetani aliebarikiwa kuanzisha ubabe tena sijui kama kuna mtu wa humu anaemfahamu shetani aliebarikiwa mtemi wa iringa.
 
Master dulla wewe inaonesha ni mwanasinza halisi mana umenikumbusha mengi sana ya huyu jamaa dame.Alikuwa na ndugu zake kina haji mkobo,hadija mkobo sjui wapo wap cku hzi.Dame alikuwa ananifurahsha akifulia anageuka bonge la ostadh ful kanzu mda ukienda unaskia kakaba mtu.Kina marehemu amina chifupa walikuwa wanamtumia kama mlinz wao enz zile ofs za clouds zipo kitega uchumi
 
cool 9 alikuwa ni mtu maarufu sana mkoa wa iringa miaka ya 80- 90 nakumbuka kipindi dada zangu wakiwa wanasoma secondary wakiwa wanasafari za disco alikuwa anawasumbua sana ila kunasiku sister alikuwa anatoka iringa hotel kwenye graduation cool 9 akawa anataka kumfanyia fujo sister wacha ale kichapo na bro wangu tangu siku hiyo akawahawasumbui dada zangu. Mob ya kul nine ilikuwa kina chancella, shedad na vijana wengine ila baada ya shedad kufa kidogo utemi ukapungua mkoani kwetu mpaka walipojitokeza kina shetani aliebarikiwa kuanzisha ubabe tena sijui kama kuna mtu wa humu anaemfahamu shetani aliebarikiwa mtemi wa iringa.

Aisee huyu Shetani Aliyebarikiwa ndiyo kwanza namsikia leo vipi naye ni mbabe sana?vipi bado yupo au kasha dedi?
 
umenikumbusha miaka ya cool9 iringa nilikuwa niko primary sabasaba,cool9 alikuwa noma pale pote iringa town,nakumbuka mwaka 1994 mdogo wangu aligongwa na gari pale uhindini kwa sadrus na kufa papo hapo,cool9 alikuwepo karibu siku hiyo basi alimchomoa dereva na kumpa kichapo kitakatifu,pia alishawahi kumtemea traffic mate usoni na wala hakufanywa chochote,nimekumbuka mbali sana ingawa naumia sana
 
Back
Top Bottom