ni nani hawa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ni nani hawa??

Discussion in 'Jamii Photos' started by lukindo, Sep 19, 2012.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  wakuu, naomba mnisaidie kuwajua hawa na ni wapi walikuwa na kwa ajili ya nini? picha.jpg
   
 2. K

  Kalikali Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
   
 3. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye bold sijakusoma. Huo uheshimiwa unatokana na nini? Kulala bungeni?
   
 4. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride
   
 5. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Khaaaaaaaaa!!!!!!!!!
   
 6. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145

  hehehehehe habari ndo hiyo...na lazima tutalazimisha sura yake iwekwe kwenye bank notes, chezeaaaa
   
 7. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Wewe na nani mkuu??
   
 8. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,983
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana mtu anapoanguka kwenye kura za maoni anapata stroke.Uheshiwa mzuri unapata heshima ya marehemu:A S thumbs_up::behindsofa::whoo:
   
 9. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  raia mwema wa Inji hiii
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa kujua kwamba hana chochote wamemuwkea gwaride la watoto na kwa upofu wake anajiona bonge la mtu.
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Mbona kama ni waterfront zamani ikiitwa NASACO?
   
 12. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,409
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Kweli Mkuu, hapo ni NSSF Water Front! Sasa kujua ilikuwa ligwaride la nini, wenye kujua watujuze!
   
 13. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  naye kwani yupo na akina Zitto kwenye hizo mbio za kuelekea Chamwino (serikali inahamia Dodoma)?
  Na je ilikuwa ni tukio la nini hasa?
   
Loading...