..Ni nini ambacho aliwaahidi wananchi wa Kalenga wakati anaomba kura na amekitekeleza katika kuwaondolea umasikini na kuwainua kiuchumi?I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
karibia 90% ya mawaziri ni either dr or professor sasa naomba niulize huu udoctor wa mawaziri ni udoctor wa kutibu wagonjwa/wanyama, udoctor wa phd, udoctor wa kupewa(kama kikwete, mengi) au udoctor wa kuchakachua:thinking:
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?
Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!
Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!
Babu DC!!

Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!Sina hakika kilipokuwa, ila kulikuwa na chuo cha namna hiyo wakati wa mfumo hodhi wa dola!!
Ila nimefurahishwa na CV ya Boss ambaye anaonesha publications zake zote zimekuwa-published Dar....!!
Babu DC!!
Kwa sasa hatujali CV tunataka utekelezaji.Mtu wakuondoa au kupunguza matatizo ya mifumo ya kifedha na ukuaji wa uchumi na atimaye maisha ya kila Mtanzania yasonge mbele bila shida
nimewahi kusoma sekondari na dada mmoja akiitwa Thecla Mgimwa pale Lugalo ya Iringa, huyo ni familia yake pia? just want to knw.I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
hivi kumbe kuna chuo cha nbc...(the national bank of commerce (nbc) - college). Kiko wapi?
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw
Hivi kumbe kuna chuo cha NBC...(The National Bank of Commerce (NBC) - College). Kiko WAPI?
I know him.Ni mtu muadilifu na mchapa kazi.alikuwa NBC Iringa kama accountant,then akawa lecturer pale chuo cha NBC cha Amon Nsekela Iringa after that alihamishiwa hapa DAR na kisha kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa Director.na baada ya hapo alienda BOT na baadae kujiunga na shughuli za siasa ambapo kwa sasa ni mbunge wa kalenga.nimesoma na watt wake pale IR na mkewe (mama Flora) ni mwanamke mwenye roho nzuri sana na kwa ujumla ni familia yenye maadili,wachapa kazi na ni mfano wa kuigwa.ni majiran pia so nawafahamu vizuri.ameandika publications nyingi tu kiumjumla anatufaa na tutegemee mabadiliko mengi ikiwa ni pamoja na kudhibiti mfumuko wa bei.Kila la heri Dk.william Mgimwa
Tanazania a big joke!!! Mnamwita huyu DR
Tatizo wengine mnaoandika 'nyuzi' za JF ni kizazi cha 'MIGI'!Kazi yenu kubwa ni kushadadia Elimu za Watu na Kuwasifu wenye GPA Kubwa wakati zenu za Kichina!Mnajidai mnajua majambo lakini hamjui,na hamjui kama mhajui!MKWECHE Nafunguka!
Chuo cha NBC ni kile chuo ambacho enzi zetu(za mwalimu) kiliitwa chuo cha benki(amon nsekela) kipo hapa Iringa na kwa sasa ndio Ruaha Unuversity aka RUCO
Huyu Mzee Ni JEMBE na Amebobea katika Fani ya Benki na fedha.Si kwa kusomea tu bali kazeekea kwenye Kazi maswala hayo.Taaluma ya Fedha kazama nayo Darasani kusoma,kuifundisha na Kufanyakazi!Orodha ya machapisho aliyochapisha mzee Mgimwa mwanataaluma Legelege au wa MIGI hawazi kuandika! namfahamu Dr Mgimwa,ni Mbunge wangu wa Jimbo la Kalenga na PhD alipata mwaka 2000 ni ya Kwenda shule na alifanya by Thesis!
Mie Mkweche nilipokuwa nasoma Uzamili pale Mu,niliwahi kusoma hata Andiko lake la MBA lilikuwa ni Kali!Mzee Kaiva,msiomfahamu acheni Mzengwe!
Kisiasa hajawahi shika nafasi kubwa ila katika maswala ya fedha ndio JEMBE!Kastaafu kazi BOT,akiwa Principal wa Bot Institute pale Kapripoint Mwanza!
Wasiwasi wa Mkweche ni Mmoja kwake!Uzoefu unaonyesha wasomi wengi siasa zinawashinda kwani hawana ujanja wa kuchanganya siasa na taluuma!Mh Kastaafu utumishi wa Umma 2010 na kuingia mjengoni!Kazi anayo
mwa mkwechw
Sijaelewa vizuri hivi mtu mwenye MBA finance ni DR siku hapa Tanganyika aaah sorry hapa Tanzania.
Ndugu MKWECHE ,
Sisi tunajadili CV yake ambayo kaiandika mwenyewe na kuiweka kwenye public domain. Wewe unajadili nini?
Halafu unapojaribu kutushuka kitalaama na ki-uzoefu, unatumia kigezo gani? Au unataka tukuwekee CV zetu ndiyo ukubali kwamba tuna haki ya kujadili CV ya mwalimu wako?