mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,724
hakusema mahusiano yao na BK bt alikuwa anasema mtu aliyekuwa anapigiwa chapuo utawal kuwa VC wakat imefanyika research na mapendekezo ya utawala(current VC),sasa wat tuliyokuwa tunaelewa ishu za masscom,duce tukaju mkuu anaipendekeza 'kazi yake' ambayo ina mpa utamu.Mkuu sio unamsingizia Mzungu wa watu? Anawezaje kuongea wazi wazi hivyo?
Hamna Mtu hapoapewe profesa bana anafaa kurithi mikoba, ana uzoefu wa kutosha katika mambo ya uongozi na siasa nchini. APEWEEEE
Wametoka mbali na Mukandala. Mchepuko wa miaka na miaka. Bunge la Katiba, Principal chuo cha uandishi wa habari na sasa Iringa. Nadhani uVC ataupata kwa sababu Mukandala is well connected kuanzia ikulu ya utawala uliopita na ya sasa...yea kuna siku mzungu Bruce alikuwa anatufundisha HR/human rights ndo akaw anadokeza jins gn BK anavyopigiwa chapuo awe VC.
Awamu hii kuna nguvu ya connections kweli?Wametoka mbali na Mukandala. Mchepuko wa miaka na miaka. Bunge la Katiba, Principal chuo cha uandishi wa habari na sasa Iringa. Nadhani uVC ataupata kwa sababu Mukandala is well connected kuanzia ikulu ya utawala uliopita na ya sasa...
hii haiwez kuisha mpk mwisho wa duniaAwamu hii kuna nguvu ya connections kweli?
Tumia connections zako basi upewe UKATIBU MKUU wizara nyetihii haiwez kuisha mpk mwisho wa dunia
sijawahi kufikiri kuutaka.Tumia connections zako basi upewe UKATIBU MKUU wizara nyeti
Man From CoNASProf.lyimo is life to be onto the next
NdiyeProf Anangisye ndio anafaa zaidi UDSM
Hii taarifa naona inasambaa...je ni taarifa rasmi?Ndiye