Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza
Mwanri anafaa manake anavyoongea nahisi ukikaa karibu nae utalowa

Kwani kura ya kutokuwa na imani na serikali manake ni waziri mkuu na si rais? Basi haina maana, maana hapa tatizo si waziri mkuu bali ni Rais! Tuna rais ambaye ni bonge la zuzu, huyu ndiye anayeiweka nchi katika hali ngumu. Pinda hana hata ubavu wa kufanya maamuzi maana kuna maamuzi mengine anayoyatoa lakini Rais anayakataa. Mifano, la Jairo, kwamba afukuzwe Rais akamrudisha kazini, la madaktari na mengine mengi. Kimeo hapa ni rais na si vinginevyo.Ni kweli tunataka Rais mpya lakini kwa mujibu wa Katiba tuliyonayo kinachowezekana ni kumwondoa Waziri Mkuu kwa kumpigia kura za kutokuwa na imani naye!
Riz-waaan!
Lowasa pekee kwa sasa! No body else!!
umeniharibia siku yangu mkuu!lowasa pekee kwa sasa! No body else!!
Tupunguze hisia wakuu, mbona tunakuwa kama hatuijui nchi yetu!?
Kinachoendelea dodoma ni igizo la wabunge wa ccm kutaka kuwahadaa wananchi wajinga ili waone bado ccm ni chama chao na kwamba wabunge wa ccm pia wanajua kubwata!
Hamna wa kuangusha serikali pale, tunachokitaka toka kwa wabunge wa ccm ni kikubwa kuliko uwezo wao wa kutenda kwa mazoea!
Sisi tulioelevuka japo kidogo tukianza kulewa hisia utafikiri kinachotokea bungeni ni kipya sana ndo tutawayumbisha masikini wengine kuona uh kumbe hata wabunge wa ccm wanafanya kazi wakati hamna chochote walichofanya mpaka sasa.
Tuwaangalie mwisho wao kwanza
Wakuu nimetazama bunge la asubuhi ya leo, kama ni kweli wale wabunge wa magamba wanayo yaongea yanatoka moyoni basi serikali ya ****** inaweza kuangushwa fasta.
Filikunjombe ameichana live bungeni, mawaziri wanaonekana wanamuangusha sana ****** wetu.
tusubirie kikao chao
Masikini CCM! Huwa nawahurumia sana wanasiasa vijana waliopo ktk chama hii! Sijui baada ya anguko watafanya kazi gani huku mtaani!!! Wameisha zoea dezo na kuhongwa! Wengi wao watapata msongo wa mawazo na kufa!
Anaangusha na nani kwani yeye ni taahira????? hujaongea kitu