Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392
Umetisha sana mkuuHili Ni Fumbo Na Linahitaji Kujibiwa Kwa Akili Sana.
Kila Mmoja Anaweza Akawa Na Mtazamo Wake Lakn Mtazamo Wa Nani Ni Sahihi?.
Ngoja Nami Nitoe Tafsiri Yangu Hapa, Naamini Sitakuwa Mbali Na Ukweli.
Duka= Nchi (Tz)
Mwenye Duka= Watanzania.
Bidhaa Za Dukani= Lasilimali za Watz.
Panya= Mafisadi.
Baada Ya Watz Kuliwa Sana Tukamweka Magufuli (Paka) Ili Kuzuia Ufisadi.
Panya (Mafisadi) Baada Ya Kuona Paka (Magufuli) Kawaharibia Dili Kwa Kuzuia Kula Lasilimali Za Watz , Wakaa Kikao Kisha Mmoja Wa Mafisadi Akatoa Mbinu Ya Kumfunga Paka (Magufuli) Kengere.
Fisadi (Panya) Mmoja Mzoefu Akauliza, Nani Wa Kumfunga Paka (Magufuli) Kengere.
Nafikiri Nimejaribu Mkuu.
There you are, yaekekea somo la fasihi ulilifaulu vizuri.Hili Ni Fumbo Na Linahitaji Kujibiwa Kwa Akili Sana.