Ni nani atakayekulilia siku ukifa?

Ni nani atakayekulilia siku ukifa?

Suala si kulia kwa maana ya kutokwa na machozi ila watakaoathirika na kuumia sana kwa pengo ambalo mtu ataacha...
Ni kweli mtu akifa amekufa kulia ama kutolia kwa mtu linaweza kuwa si ishu sana ila swali,unajisikiaje endapo kuwepo au kutokuwepo kwako hakuleti tofauti yoyote! ..
 
Sasa utajuaje nani anakulilia wakati mwenyewe umeshafariki? Je watakao cheka na kushangilia. Hakuna haja ya kuwaza hayo kwasababu hayana faida tena kwa mfu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom