Ukiwa umevaa kaputula alafu ukawa unabisha kwamba umevaa suruali watu watakushangaa Sana. Nitakribani mikoa yote Tanzania mvua hazijanyesha mpaka Leo yaani ni rasharasha zimepita kwa kawaida mvua za msimu zinatakiwa kunyesha kuanzai mwezi wa 11 hadi mwezi wa 4 kwa hali ya kawaida mazao ya msimu usitegemee yatastawi kuna mikoa Kama Dodoma,Singida,Manyara,Shinyanga n.k mvua za msimu zikipita yaana ni majanga.
Wananchi "wavivu na wapiga dili" wanahofu ya kuwapata yale yaliyowapata wana-Kagera na huruma ya serikali juu yao ya kuwaambia wajitetemeshe wazalishe chakula kwenye ukame. Serikali haikuleta ukame wala haikuzuia mvua - bwana yule.Hakuna balaa la njaa
Milele aminaHahaha tumsifu Yesu Kristu
Acha uchochezi mkuu, unataka kuigombanisha serikali na wananchi wake nini? Umeambiwa nchi haina ukame wewe unabisha, au hujui kuwa yeye ndo anayejua hali ya hewa ya kila mahali?Ukiwa umevaa kaputula alafu ukawa unabisha kwamba umevaa suruali watu watakushangaa Sana. Nitakribani mikoa yote Tanzania mvua hazijanyesha mpaka Leo yaani ni rasharasha zimepita kwa kawaida mvua za msimu zinatakiwa kunyesha kuanzai mwezi wa 11 hadi mwezi wa 4 kwa hali ya kawaida mazao ya msimu usitegemee yatastawi kuna mikoa Kama Dodoma,Singida,Manyara,Shinyanga n.k mvua za msimu zikipita yaana ni majanga.