Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,521
- 10,759
ITV hakuna kitu..na itapotea
mi nikushauri tu watumie maoni jamaa wako fasta kufanyia kazi.
ITV hakuna kitu..na itapotea
Africa Media Group. Ndo wamiliki wa magic fm, channel ten, DTV, CTN, C2C. Alafu hii tv ilianza na ITV enzi hizo nlitegemea ingeendelea kukiki kama ITV ila imekuwa tofauti. kwanza warekebishe colour yao ikiwezekana wahamie HD kabisa. then warekebishe contents zao maana kila nikitune nakutana na kipindi cha dini.
CNN na fox mwenyewe anauza..kwa kuwa watu hawategemei tena mainstream kupata habari..sasa wewe na channel yako endelea tu kutoboresha vipindi..hivi matukio ya wiki bado Kipo!?mi nikushauri tu watumie maoni jamaa wako fasta kufanyia kazi.
Hivi c2c na DTv zipo?
😀😀CNN na fox mwenyewe anauza..kwa kuwa watu hawategemei tena mainstream kupata habari..sasa wewe na channel yako endelea tu kutoboresha vipindi..hivi matukio ya wiki bado Kipo!?
nimekufurhisha sana mkuu!!
nimekufurhisha sana mkuu!!
Mimi tokea waitoee dhamira itv siaangalii kabisaITV hakuna kitu..na itapotea
Shekhe Majini unamjua?Anaonyeshwa hapo channel 10Kazi kuwaweka wakina ..walokole wa kila aina wanapiga kelele tu...[emoji6]
Nimeimiss C2C na vimovie vyake vya zamaniAfrica Media Group. Ndo wamiliki wa magic fm, channel ten, DTV, CTN, C2C. Alafu hii tv ilianza na ITV enzi hizo nlitegemea ingeendelea kukiki kama ITV ila imekuwa tofauti. kwanza warekebishe colour yao ikiwezekana wahamie HD kabisa. then warekebishe contents zao maana kila nikitune nakutana na kipindi cha dini.
I see [emoji45] [emoji45] [emoji45]TBC ndio kitoa bora hapa bongo wengine wasindikizaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa malumbano ya hoja
Nakuunga mkono katika point hii.Kazi kuwaweka wakina ..walokole wa kila aina wanapiga kelele tu...[emoji6]
ule mlio wa taarifa ya habari nakumbuka upo toka miaka ya late 90s mkuu! wakiubadili watabugi kweli ikiwezekana wakausajili km hakimilikihiyo ndo siri ya mafanikio ya ITV kupewa tuzo ya superbrand kila mwaka. Yani kila kitu kipo vile vile marekebisho ni madogo mno wamefanya. mfano logo wameiacha ile ile hawajabadili kama channel ten. Sikiliza ule mlio wa habari ni ule ule tangu 2000 huko hadi leo. ujue kitu ambacho umekizoea kila siku unakiona na kinakuvutia siku kikibadilika kuna uwezekano na wewe ukabadilika ukakichukia. inshort jamaa bodi ya wahariri, warusha matangazo (mfano kina Benedict Lusese, Paul Urio), mafundi karibia wote ni wale wale coz elimu yao ni nzuri na hawajaona waku_replace nafasi zao hadi CEO wao ni yule yule haja_change, labda presenters ndo wanawabadilisha. na mission yao ni ile ile kama inachange bas wanabadilisha kidogo tu kuendana na ulimwengu mfano social networks, website, applications. jamaa contents zao hazipo complicated ni simple kuelewa na simple graphics yeyote anaweza kuelewa what is going on. Presenters wao wapo straight hakuna kuzunguka saana kama wengine. na wanaenda kwa matukio. kile kinachozungumzwa sana mtaani ndo kinarushwa ITV.