Ni nani aliyesababisha Dr. Aucho kusajiliwa na Simba

Kwa soka la bongo inawezekana kabisa tena wala usishangae.
Usajili una tegemea kufunguliwa kwa dirisha la usajili...!!!
Kuna Tofauti kubwa baina ya kuingia mkataba na kufanya usajili....!!!
Dirisha la usajili bado wewe una sema bongo Ina wezekana.
Hebu toa mfano mchezaji ambae amesajiliwa bila dirisha la usajili kufunguliwa.
TMS ndio Ina onyesha usajili wa mchezaji na Ina funguka kwa Vipindi maalumu tu.
 
Wachezaji waliomaliza mikataba yao unaweza kumsajili ila hautomtumia mpaka dirisha la usajili lifunguliwe. Mfano alivyosajiliwa Saidoo ntibanzokiza
 
Tanzania raha Sana

Mtu anatoka huko hata kusoma hajui lakn akija huku anatunukiwa udaktari na uprofesa

Nabi

Aucho

Lakn kagere anafunga fei toto anakiwasha hata udaktari hawapewi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ajabu sana, na kuna mchezaji wao ana magoli kumi kwenye mechi za kirafiki, lakini kwenye Premier League ana mabao mawili, lakini anaimbwa vibaya sana.
 
Sawa tusubiri tuone ila kwa ile kamati ya seif magari,Davies Mosha na Bin kleb sizani.
 
Back
Top Bottom